Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Hii ndio nyama bora kabisa iliyobakia baada ya nyama ya mbuzi na ngombe kuingiliwa na wadudu hatari wanaoongeza uric acid, gauts na matatizo kibao ya viungo, magoti na mfumo wa damu.

Watafiti mtuambie nini kimetokea kwenye ngombe na mbuzi? nyama hizi ni hatari kubwa sasa, magoti yanavimba , yanauma, visole vinavimba na kukakamaa kuna nini?

je ni dawa wanazowatibu wanyama hawa au ni species mpya za mbuzi na ngombe ama ni GMO? mbona zamani hakukuwepo matatizo kama haya?
 
Mkuu tusaidiane kilevya kipi ni bora kutumia wakati unatumia hii kitu

Amatolo, Nyama ya nguruwe siyo ngumu sana wala nyepesi sana, ipo katikati kwa ugumu, japo nyama ya ng'ombe ni ngumu zaidi. Kwa maana hiyo nyama inapokuwa ngumu na ina mafuta inashauriwa iliwe na kinywaji ambacho ni chachu au acidity kwa mfano wine.

Kitimoto kwa hapa Bongo, wengi hawapiki inavyotakiwa, kwa maana hiyo kienyeji kienyeji tunashauriwa ukila, basi shushia na spirit au whisky ili kuua vimelea au minyoo. Hii ni kimtaa zaidi na sio kidaktari.
 
Mbuzi ni hatari kwa Afya mkuu ukitaka kuwa mlemavu karibia na Uzee wako kula mbuzi
 
Cheers that is why K-Vant is my favourable drink
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…