Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kipindi kile namwambia jamaa yangu nina nyumba 4 hakuamini. Na nyumba za ukweli siyo zile mnasema kakibanda kangu. Yule baba nyie muacheni tu jamani. Watu tulipiga sana pesa. Hakuwa na roho mbaya. Ukiweza jitwalia jitwalie tu.
Tulikuwa na miradi bubu mingi, semina, warsha na makongamano ndani na nje ya nchi. Tuliwahi enda jifunza ufugaji wa samaki china miezi miwili tunakula tu perdiem.
Marekani nilienda mara 4, UK mara 2, Ujerumani mara 2, China mara 5. Tanzania nimezunguka sana kutoa na kupokea mafunzo. Kifupi watu tumekula maisha sana.
Namwona mama ni kama Kikwete yupo very peaceful nimeanza ujenzi nyumba mbili toka aje. Magufuli alitubana sana, utadhani sisi siyo watu.
Tumempokea makamu wa Rais. Fungu lilitoka kutupa support si la kitoto naenda ezeka week ijayo na kusakafia. Kazi iendelee. Wenye wivu wajinyonge.