Wale ambao hamkujenga kipindi cha Kikwete ndiyo muanze kujenga sasa

Siongei kiushabiki wala mimi sizifuatilii siasa ila mimi wakati wa Kikwete kwa hela za kuokota hovyo na kujisemea nitapata tena kesho nilisimamisha boma likakaa miaka sita (2012-2018) wakati wa Magufuli ndo nikaendelea na ujenzi.

Kuna namna ukipata sana vitu kwa pupa unajisahau ila wakati wa Magufuli kwa sababu hujui hali itakuwaje kesho a'cally ulijikuta mtu unaishi kwa hesabu kali na kuna waliotoboa maisha yakaenda.
Hata mimi nimejenga kipindi cha magu..na wakati wa jk sikuweza....watu wasioiba wengi walijenga wakati wa magu...lakini wezi wengi huu ndio mda wao...
 
Alivyompumbavu anaelezea jinsi alivyokwenda seminar na kurudi bila bila kufanya chochote.
Tunailaumu serikali kumbe watu wanapelekwa aemina za kilimo wakirudi mafaili wanaweka uvunguni.
Sasa unataka nikatae kwenda? We una akili kweli?
 
Kipindi kile namwambia jamaa yangu nina nyumba 4 hakuamini. Na nyumba za ukweli siyo zile mnasema kakibanda kangu. Yule baba nyie muacheni tu jamani. Watu tulipiga sana pesa. Hakuwa na roho mbaya. Ukiweza jitwalia jitwalie tu.

Tulikuwa na miradi bubu mingi, semina, warsha na makongamano ndani na nje ya nchi. Tuliwahi enda jifunza ufugaji wa samaki china miezi miwili tunakula tu perdiem.

Marekani nilienda mara 4, UK mara 2, Ujerumani mara 2, China mara 5. Tanzania nimezunguka sana kutoa na kupokea mafunzo. Kifupi watu tumekula maisha sana.

Namwona mama ni kama Kikwete yupo very peaceful nimeanza ujenzi nyumba mbili toka aje. Magufuli alitubana sana, utadhani sisi siyo watu.

Tumempokea makamu wa Rais. Fungu lilitoka kutupa support si la kitoto naenda ezeka week ijayo na kusakafia. Kazi iendelee. Wenye wivu wajinyonge.
Kama ulishindwa kujenga kipindi cha magufuli ww hunatofauti na wanawake wanaotaka haki sawa. Mkapa kaliwa kichwa kikwete kaliwa kichwa na magu kaliwa pia huyu mama naye atakiwa kichwa hakuna awamu inaenda salama kama hukula kwa magu hukuwa na akili japo magu alibana na alituumiza wengine kutuvurugia utaftaji wetu ila nashangaa sana mtu alieshindwa kuweka mipango akala mema kipindi cha magu
 
Kipindi kile namwambia jamaa yangu nina nyumba 4 hakuamini. Na nyumba za ukweli siyo zile mnasema kakibanda kangu. Yule baba nyie muacheni tu jamani. Watu tulipiga sana pesa. Hakuwa na roho mbaya. Ukiweza jitwalia jitwalie tu.

Tulikuwa na miradi bubu mingi, semina, warsha na makongamano ndani na nje ya nchi. Tuliwahi enda jifunza ufugaji wa samaki china miezi miwili tunakula tu perdiem.

Marekani nilienda mara 4, UK mara 2, Ujerumani mara 2, China mara 5. Tanzania nimezunguka sana kutoa na kupokea mafunzo. Kifupi watu tumekula maisha sana.

Namwona mama ni kama Kikwete yupo very peaceful nimeanza ujenzi nyumba mbili toka aje. Magufuli alitubana sana, utadhani sisi siyo watu.

Tumempokea makamu wa Rais. Fungu lilitoka kutupa support si la kitoto naenda ezeka week ijayo na kusakafia. Kazi iendelee. Wenye wivu wajinyonge.
Alafu pia waliokua kwenye mfumo ndio walipiga vizuri tu nina jamaa yangu yupo kitengo mpka leo na hajawahi ona tofauti kati ya kikwete magu na samia kote anafumua akikupa mchongo leo baada ya siku tano malipo hayo hapo ww unalalama kwa magu sjui hukufaidi mjini akili dogo na usijisifie kwenda semina ambazo huna manufaa nazo nenda nje leta ujuzi hata kama umepiga pesa wape watanzania ulichopata nje na ww tumia walivyokupa nje mbali na hapo naona unaishi tu duniani
 
Ya watanzania watabaki nayo wao na yangu yatakuwa yangu.
 
Back
Top Bottom