nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,250
Hata mimi nimejenga kipindi cha magu..na wakati wa jk sikuweza....watu wasioiba wengi walijenga wakati wa magu...lakini wezi wengi huu ndio mda wao...Siongei kiushabiki wala mimi sizifuatilii siasa ila mimi wakati wa Kikwete kwa hela za kuokota hovyo na kujisemea nitapata tena kesho nilisimamisha boma likakaa miaka sita (2012-2018) wakati wa Magufuli ndo nikaendelea na ujenzi.
Kuna namna ukipata sana vitu kwa pupa unajisahau ila wakati wa Magufuli kwa sababu hujui hali itakuwaje kesho a'cally ulijikuta mtu unaishi kwa hesabu kali na kuna waliotoboa maisha yakaenda.
Nikitoka mimi inatosha. Nchi nliikuta na nitaiacha.Watu wenye akili kama zako ndio wanaosababisha nchi haitoki ilipo
Sasa unataka nikatae kwenda? We una akili kweli?Alivyompumbavu anaelezea jinsi alivyokwenda seminar na kurudi bila bila kufanya chochote.
Tunailaumu serikali kumbe watu wanapelekwa aemina za kilimo wakirudi mafaili wanaweka uvunguni.
Toka nianze hudhuria mazishi sijawahi ona maiti akiwa uchi. Huo ni uongo.Bila aibu unasema ulipiga pesa.Yaani ubinadamu umewatoka kabisa,aibu sana.Ila ukumbuke kwamba ulikuja duniani uchi na utaondoka uchi.
Kama ulishindwa kujenga kipindi cha magufuli ww hunatofauti na wanawake wanaotaka haki sawa. Mkapa kaliwa kichwa kikwete kaliwa kichwa na magu kaliwa pia huyu mama naye atakiwa kichwa hakuna awamu inaenda salama kama hukula kwa magu hukuwa na akili japo magu alibana na alituumiza wengine kutuvurugia utaftaji wetu ila nashangaa sana mtu alieshindwa kuweka mipango akala mema kipindi cha maguKipindi kile namwambia jamaa yangu nina nyumba 4 hakuamini. Na nyumba za ukweli siyo zile mnasema kakibanda kangu. Yule baba nyie muacheni tu jamani. Watu tulipiga sana pesa. Hakuwa na roho mbaya. Ukiweza jitwalia jitwalie tu.
Tulikuwa na miradi bubu mingi, semina, warsha na makongamano ndani na nje ya nchi. Tuliwahi enda jifunza ufugaji wa samaki china miezi miwili tunakula tu perdiem.
Marekani nilienda mara 4, UK mara 2, Ujerumani mara 2, China mara 5. Tanzania nimezunguka sana kutoa na kupokea mafunzo. Kifupi watu tumekula maisha sana.
Namwona mama ni kama Kikwete yupo very peaceful nimeanza ujenzi nyumba mbili toka aje. Magufuli alitubana sana, utadhani sisi siyo watu.
Tumempokea makamu wa Rais. Fungu lilitoka kutupa support si la kitoto naenda ezeka week ijayo na kusakafia. Kazi iendelee. Wenye wivu wajinyonge.
Sijawahi fuga samaki hata nyau acha samakiChina miezi 2 kujifunza kufuga samaki π vipi mafunzo yalikusaidia
Alafu pia waliokua kwenye mfumo ndio walipiga vizuri tu nina jamaa yangu yupo kitengo mpka leo na hajawahi ona tofauti kati ya kikwete magu na samia kote anafumua akikupa mchongo leo baada ya siku tano malipo hayo hapo ww unalalama kwa magu sjui hukufaidi mjini akili dogo na usijisifie kwenda semina ambazo huna manufaa nazo nenda nje leta ujuzi hata kama umepiga pesa wape watanzania ulichopata nje na ww tumia walivyokupa nje mbali na hapo naona unaishi tu dunianiKipindi kile namwambia jamaa yangu nina nyumba 4 hakuamini. Na nyumba za ukweli siyo zile mnasema kakibanda kangu. Yule baba nyie muacheni tu jamani. Watu tulipiga sana pesa. Hakuwa na roho mbaya. Ukiweza jitwalia jitwalie tu.
Tulikuwa na miradi bubu mingi, semina, warsha na makongamano ndani na nje ya nchi. Tuliwahi enda jifunza ufugaji wa samaki china miezi miwili tunakula tu perdiem.
Marekani nilienda mara 4, UK mara 2, Ujerumani mara 2, China mara 5. Tanzania nimezunguka sana kutoa na kupokea mafunzo. Kifupi watu tumekula maisha sana.
Namwona mama ni kama Kikwete yupo very peaceful nimeanza ujenzi nyumba mbili toka aje. Magufuli alitubana sana, utadhani sisi siyo watu.
Tumempokea makamu wa Rais. Fungu lilitoka kutupa support si la kitoto naenda ezeka week ijayo na kusakafia. Kazi iendelee. Wenye wivu wajinyonge.
Kwa nini unawadhalilisha wazazi wako? Waonekane wao hawakukupa malezi mema? Waonee huruma dogo.Yamsaidie wapi? Kazi kubong'oa tu
Walikuwa wanajipendekeza tu kuwapeleka china sio πSijawahi fuga samaki hata nyau acha samaki
Ya watanzania watabaki nayo wao na yangu yatakuwa yangu.Alafu pia waliokua kwenye mfumo ndio walipiga vizuri tu nina jamaa yangu yupo kitengo mpka leo na hajawahi ona tofauti kati ya kikwete magu na samia kote anafumua akikupa mchongo leo baada ya siku tano malipo hayo hapo ww unalalama kwa magu sjui hukufaidi mjini akili dogo na usijisifie kwenda semina ambazo huna manufaa nazo nenda nje leta ujuzi hata kama umepiga pesa wape watanzania ulichopata nje na ww tumia walivyokupa nje mbali na hapo naona unaishi tu duniani
Aaargh. .... Wao wenyewe bwana. Mi nlipata changu na wao wakapata chao.Walikuwa wanajipendekeza tu kuwapeleka china sio π
You should have shown me an exampleKeeping quiet was the best option
Pole sana sister. Tena poleeee.Halafu watu wa hivi utakuja kukuta unadaiwa kodi ya nyumba miezi mitatu hujalipa unakuja kujifariji JF na hata passport huna.
Nikisoma stor yako naona ni chai kabisaaa umeunga dots za jf umeamua kutufuturisha kabla ya muda ila sio mbaya akili kisodaYa watanzania watabaki nayo wao na yangu yatakuwa yangu.
Hilo halinihusu...Nikisoma stor yako naona ni chai kabisaaa umeunga dots za jf umeamua kutufuturisha kabla ya muda ila sio mbaya akili kisoda
Au anadandia uzi wa ajira mixer kuulizia na kulalamika kama mpwayunguππππHalafu watu wa hivi utakuja kukuta unadaiwa kodi ya nyumba miezi mitatu hujalipa unakuja kujifariji JF na hata passport huna.
πππππππ Simple trickHilo halinihusu...
Wewe ndio huna akili; maana unatumwa kwa gharama za wananchi unarudi na mavi kichwani alafu unajisifiaSasa unataka nikatae kwenda? We una akili kweli?
Wewe una kinyesi kichwani na kwenye moyo. Hata kuandika hujui.Wewe ndio huna akili; maana unatumwa kwa gharama za wananchi unarudi na mavi kichwani alafu unajisifia