Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

This part is never true, asipo olewa jua atadanga na atakuwa na many male friends ambao hufikia hatua ya kulala nao ili kutimiza haja zao au vitu mbalimbali.
True ninini sasa kwako? True kwamba wanawake wengi hawaolewi au wanaolewa. Fact wanawake wengi wanaweza kuzeeka bila kuolewa. Kuhusu kudanga ni suala
lingine.

My comparison was, wingi ki-number kati ya me na ke ambao hadi wanafikia uzee bila kuoa/olewa.
 
Declaration of interest, mimi ni mwanaume ambaye kila mwaka naweza kumnunulia mwanamke wangu Gari la kuanzia 50mil, mwanamke ni viumbe wa ajabu

Katika vitu nasema nimewahi kukosea maishani mwangu ni kuishi na huyu mwanamke niliyezaa nae, hakuna amani kabisa kwenye maisha yangu kila siku ya Mungu, amani yangu inakuja nikilala usingizi na wakati mwingine nakunywa dawa au pombe kali sana ili nilale, au nitafute Mwanamke wa Burudani.

Kama uko kwenye uchumba, umezaa na mtu ikakubidi umuoe, usioe ndoa ya Kanisani wala msikitini, utaratibu wa kubariki ndoa ndio jambo bora kwenye masuala ya dini.

Ukisikia mwanaume anaacha nyumba, mali zote anamuachia mwanamke ili asihangaike na watoto huwa akosei kabisa, nimewahi kupanga niharibu namba zangu zote za simu, niwapige stop ndugu zangu nihame nyumbani nimuachie kila kitu alafu nianze maisha upya.

Ukipata mke mbaya, hutawahi upate amani hadi unakufa.
 
Mkuu hapa duniani hakuna kitu kibaya kama upweke ndio mana mungu hakuwa bwege kumpa Adam mwenza wake ambae ni Eva so uyo mwenye nyumba wako subili maradhi yaanze kumsumbua ndio tutajua hizo pesa zake zitamsaidia au lah
Hata kuoa pia hakukuhakikishii kuhudumiwa na mkeo kwani wapo watu walioishi na wake zao Kwa wema lakini nyakati za maradhi wenza wakawakimbia............

Sipingi suala la vijana kuona lakini kuoa zama hizi ni kama kucheza kamari tu.........

Wapo wanaoonekana wapo kwenye ndoa lakini mioyo yao inateketea kwa machungu..........
 
True ninini sasa kwako? True kwamba wanawake wengi hawaolewi au wanaolewa. Fact wanawake wengi wanaweza kuzeeka bila kuolewa. Kuhusu kudanga ni suala
lingine.

My comparison was, wingi ki-number kati ya me na ke ambao hadi wanafikia uzee bila kuoa/olewa.
🤣🤣🤣 kama unataka kuongea kicomparison, sista factors ni very medical factors wala hazihusiani na relationships. Nazinazidi kuwa in similar proportion every year. So tulizana, usitumie relationship kuweka comparison madam.
 
Declaration of interest, mimi ni mwanaume ambaye kila mwaka naweza kumnunulia mwanamke wangu Gari la kuanzia 50mil, mwanamke ni viumbe wa ajabu

Katika vitu nasema nimewahi kukosea maishani mwangu ni kuishi na huyu mwanamke niliyezaa nae, hakuna amani kabisa kwenye maisha yangu kila siku ya Mungu, amani yangu inakuja nikilala usingizi na wakati mwingine nakunywa dawa au pombe kali sana ili nilale, au nitafute Mwanamke wa Burudani.

Kama uko kwenye uchumba, umezaa na mtu ikakubidi umuoe, usioe ndoa ya Kanisani wala msikitini, utaratibu wa kubariki ndoa ndio jambo bora kwenye masuala ya dini.

Ukisikia mwanaume anaacha nyumba, mali zote anamuachia mwanamke ili asihangaike na watoto huwa akosei kabisa, nimewahi kupanga niharibu namba zangu zote za simu, niwapige stop ndugu zangu nihame nyumbani nimuachie kila kitu alafu nianze maisha upya.

Ukipata mke mbaya, hutawahi upate amani hadi unakufa.
Ubaya wa huyo mwanamke ni nini mkuu?..Tuelezee kidogo tujifunze if you don't mind.
 
🤣🤣🤣 kama unataka kuongea kicomparison, sista factors ni very medical terms wala hazihusiani na relationships. Nazinazidi kuwaza in similar proportion every year. So tulizana, comparison usiweke relationship madam.
Sorry sijaelewa chochote, wewe umeelewa ulichoandika? au... Bye Felicia!
 
Back
Top Bottom