binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
True ninini sasa kwako? True kwamba wanawake wengi hawaolewi au wanaolewa. Fact wanawake wengi wanaweza kuzeeka bila kuolewa. Kuhusu kudanga ni sualaThis part is never true, asipo olewa jua atadanga na atakuwa na many male friends ambao hufikia hatua ya kulala nao ili kutimiza haja zao au vitu mbalimbali.
Africa ukioa mwanamke unakua umeoa ukooWatawezaje kuzeeka na Bima kubwa wakati pesa zote wanazitumia kugaramia familia yake na ya mkewe? Kwa sie ambao hatuna mpango wa kuoa hatutakua na garama zA kulea familia ya mke na nduguze!!!!
Hata kuoa pia hakukuhakikishii kuhudumiwa na mkeo kwani wapo watu walioishi na wake zao Kwa wema lakini nyakati za maradhi wenza wakawakimbia............Mkuu hapa duniani hakuna kitu kibaya kama upweke ndio mana mungu hakuwa bwege kumpa Adam mwenza wake ambae ni Eva so uyo mwenye nyumba wako subili maradhi yaanze kumsumbua ndio tutajua hizo pesa zake zitamsaidia au lah
🤣🤣🤣 kama unataka kuongea kicomparison, sista factors ni very medical factors wala hazihusiani na relationships. Nazinazidi kuwa in similar proportion every year. So tulizana, usitumie relationship kuweka comparison madam.True ninini sasa kwako? True kwamba wanawake wengi hawaolewi au wanaolewa. Fact wanawake wengi wanaweza kuzeeka bila kuolewa. Kuhusu kudanga ni suala
lingine.
My comparison was, wingi ki-number kati ya me na ke ambao hadi wanafikia uzee bila kuoa/olewa.
Ubaya wa huyo mwanamke ni nini mkuu?..Tuelezee kidogo tujifunze if you don't mind.Declaration of interest, mimi ni mwanaume ambaye kila mwaka naweza kumnunulia mwanamke wangu Gari la kuanzia 50mil, mwanamke ni viumbe wa ajabu
Katika vitu nasema nimewahi kukosea maishani mwangu ni kuishi na huyu mwanamke niliyezaa nae, hakuna amani kabisa kwenye maisha yangu kila siku ya Mungu, amani yangu inakuja nikilala usingizi na wakati mwingine nakunywa dawa au pombe kali sana ili nilale, au nitafute Mwanamke wa Burudani.
Kama uko kwenye uchumba, umezaa na mtu ikakubidi umuoe, usioe ndoa ya Kanisani wala msikitini, utaratibu wa kubariki ndoa ndio jambo bora kwenye masuala ya dini.
Ukisikia mwanaume anaacha nyumba, mali zote anamuachia mwanamke ili asihangaike na watoto huwa akosei kabisa, nimewahi kupanga niharibu namba zangu zote za simu, niwapige stop ndugu zangu nihame nyumbani nimuachie kila kitu alafu nianze maisha upya.
Ukipata mke mbaya, hutawahi upate amani hadi unakufa.
Sorry sijaelewa chochote, wewe umeelewa ulichoandika? au... Bye Felicia!🤣🤣🤣 kama unataka kuongea kicomparison, sista factors ni very medical terms wala hazihusiani na relationships. Nazinazidi kuwaza in similar proportion every year. So tulizana, comparison usiweke relationship madam.
Bye😂😂😂, remember your not better than man just normal beings.Wewe umeelewa ulichoandika? So.. Bye Felicia!
Hee! Huko unapopazungumzia hata sipo.. Labda ujaribu pengine.Bye😂😂😂, remember your not better than man just normal beings.
😘😘😘lips tamuHee! Huko unapopazungumzia hata sipo.. Labda ujaribu pengine.
😂😂😂 I know, just remember your first statement. Goodnight my sister!Hee! Huko unapopazungumzia hata sipo.. Labda ujaribu pengine.
Haaa asante! 😘😘😘😘lips tamu
dah nameza mate hapa balaa😘 hio picha niyakwako!Haaa asante!
Hapana bwana picha ya kudauniloadi.dah nameza mate hapa balaa😘 hio picha niyakwako!
Gubu unalijua kaka?Ubaya wa huyo mwanamke ni nini mkuu?..Tuelezee kidogo tujifunze if you don't mind.
aloo ila nahisi inaendana nalips zako.pia langi yamtume mtoto mashalaaa😘dahHapana bwana picha ya kudauniloadi.
ukiizeeka huku una hela, hukosi matunzo.. hasa kama ukiwa na roho nyeupeWanaume ambao hawajaoa huwa wakizeeka wanazurura hao kila nyumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakujipanga huyo.. kuna ambao walioa na wanakula msoto kinyama.. Mungu atujalie tuwe na uzee mwema.. ya mbeleni hayatabiriki kuna matoto yanatesa hata kuua wazazi ujueKuna mmoja hapa analala kwenye gesti ashafukuzwa kila kona anazunguka na mkoba na tv na pasi hana hata pa kulala
Umechelewa kujadili mi nimechokaHakujipanga huyo.. kuna ambao walioa na wanakula msoto kinyama.. Mungu atujalie tuwe na uzee mwema.. ya mbeleni hayatabiriki kuna matoto yanatesa hata kuua wazazi ujue
Unachokaje mapema hiviUmechelewa kujadili mi nimechoka