Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Mleta uzi ulisahau wapi kunitag?Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuleta uzi hapa ni jinsi gani ndoa ni scam, ni jinsi gani ndoa iko pale kumnufaisha Mwanamke.
Siku za karibuni kumezuka matukio kadhaa ya mauaji ya wanandoa, au wanandoa kujiua sababu kubwa ikiwa mifarakano ya ndani ya ndoa.
Kwa Muktadha huo nazidi kushikilia ule msimamo wangu ya kwamba Maisha ya Mwanaume ili yawe Marefu kwa zama hizi aachana na hizi ndoa. Hutoua/Kuuawa/Kujiua.
Je wale wenzangu Lifetime Bachelors tupeane Mbinu zipi katika maisha yetu ya ubachela?
Uzi tayari!
cc: Liverpool VPN
hatuwezi acha iga wazungu, maana bila wao hata hii JF using ijua.. wala isingekuwepo.. Kana una good management ya maisha na afya uzeeni huwezi pata shida..Mnafurahisha πππ
Okei unahela yes, una watoto yes hujaoa hatujakataaa and of course kila mtoto na mama yake
Hivi wewe unaleta picha gani kwa wanao? yaani hata watoto wanakuhesabia wewe muhuni tu utawaambia nini ππ
Wewe kila mwezi unabadilisha wanawake tu nani atakuheshimu?
Ndoa inaheshimisha acheni kuiga wazungu
Oeni mpate kuheshimiwa na jamii zenu, kutokukuoa na unajigamba u got money unahesabika ka muhuni tu and top cursed.
Watu wanaangalia uzee kwa matatizo yani wameisha jiandaa kisaikolojia kuzeeka na matatizo..Shida ni kwamba unataka kusikia unachokiamini wewe ili nionekane sio mtoto.
Ila kuoa kwa kwa kigezo cha kwamba utasaidiwa uzeeni ni upumbavu na utoto wenyewe, unless kuwepo na sababu nyingine firm.
Yani nioe kwa kuugopa uzee? Mascular men hawawezi kuifanya hiyo kuwa sababu, labda SIMPS.
Nimeoa na nina mke mmoja tu, ila nilishamuambia kama tutajaliwa kuishi, mie nikifika miaka 55+ , tutaachana sitokuwa tayari kuishi na mwanamke zaidi ya hiyo age. na uzee wangu kama ikatokea nikazeeka sijawai waza waza uzee wa Majanga.. huenda uzee ukanikuta nikiwa mwalimu katika ngazi ya vyuo hata kama part time.. nikiisha zangu kwenye nyumba yangu shambani huko nakula wine, zoezi mala moja moja naosha rungu mahala nitapojisikia kuosha, kazoezi safi kabisa.. maswala ya kuchambana kwangu hayapo nitakufa na nguvu zangu ..Kwahiyo kabla ya kuoa uliishi ukiwa hujui maana halisi ya kuwa mwanaume?
Ni kweli siwezi kukupangia maisha ila usiwe attached na mwanamke kiasi hicho.
"Utakufa na nguvu ZAKO"Nimeoa na nina mke mmoja tu, ila nilishamuambia kama tutajaliwa kuishi, mie nikifika miaka 55+ , tutaachana sitokuwa tayari kuishi na mwanamke.. na uzee wangu kama ikatokea nikazeeka sijawai waza waza uzee wa Majanga.. huenda uzee ukanikuta nikiwa mwalimu katika ngazi ya vyuo hata kama part time.. nikiisha zangu kwenye nyumba yangu shambani huko nakula wine, zoezi mala moja moja naosha rungu mahala nitapojisikia kuosha, kazoezi safi kabisa.. maswala ya kuchambana kwangu hayapo nitakufa na nguvu zangu ..
Huu uzi siyo wako.Mtazeeka vibaya sana tena kwa majuto,japo sijaoa lakn taoa.
Watu wengi wanakufa na nguvu zao, kufa sio lazima hadi upatwe na malazi ya kukuudhofisha mwili. Watu wanakufa na uzee mwema kabisa. Unakuta hata jioni alikuwa anapalilia kashamba kake ka maua, anamaliza anaoga, anaenda lala ndio inakuwa mazima na ndio kifo ambacho nina imagination nacho, sio kufa hadi uharishe ujinyenyee mie sijiwazii hivyoo.. wakati mwingine Mwenyezi Mungu hutupa kile tunacho imagine na kukiwaza"Utakufa na nguvu ZAKO"
Utajipiga Risasi au Autanasia ya kunywa sumu FULANI lakini slow killing process!!?
Nilicho kiona kwenye huu uzi wengi wana hofu ya maisha na wanajiwazia ukuda tu uzeeni kwao.. wacha wajiandae kuchambwaa maana huenda ndio kiu yao kubwaaHuu uzi siyo wako.
Narudia tena kusema hili jambo mnachanganya mambo,mada ni mbinu zipi tuende nazo katika ishu ya kuhakikisha tunabaki katika ubachela wakati wote wa maisha yetu,hapa hatujaongelea mambo ya watoto au ndugu.Kuna mmoja hapa analala kwenye gesti ashafukuzwa kila kona anazunguka na mkoba na tv na pasi hana hata pa kulala
mda wa ndoa ni upi ? Ndoa inaweza pia kukuvunjia heshimaNdio maana ili kuleta heshima unashauriwa uoe mda ukifika. Ukiishi kibachela watu wana namna yao wanakuchukulia tofauti.
Mda wa kuingia ndoani ni very debatable, kila mtu ana umri wake anaoona ni sahihi kuishi na mwenza, mwingine 25, mwingine 40 nk.mda wa ndoa ni upi ? Ndoa inaweza pia kukuvunjia heshima
πππ naona umeshusha andiko. AmenMda wa kuingia ndoani ni very debatable, kila mtu ana umri wake anaoona ni sahihi kuishi na mwenza, mwingine 25, mwingine 40 nk.
Hatusemi ndoa ndio kila kitu, hata vitabu vinasema;
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA.
Lakini sio lazima mtu kuingia kwa ndoa as Paulo alisema;
Na sasa kuhusu mambo mliyoniandikia. Ni vizuri mtu asioe. Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.
Nataka tuache(!) uzinzi mkuuπ€£π€£π€£πππ naona umeshusha andiko. Amen
Jamani eeeheheh okei πhatuwezi acha iga wazungu, maana bila wao hata hii JF using ijua.. wala isingekuwepo.. Kana una good management ya maisha na afya uzeeni huwezi pata shida..
Mmh asa na ww rafiki angu li uzi la zamaani we ndo unaliona leo afu tusshasahau hata tulicomment maniniNilicho kiona kwenye huu uzi wengi wana hofu ya maisha na wanajiwazia ukuda tu uzeeni kwao.. wacha wajiandae kuchambwaa maana huenda ndio kiu yao kubwaa
πππ mie mbona sio mzinzi na hapa nipo na mke wangu, sema kalala mie kuna ka documents nilikuwa namalizia kukaandaa tu. Ukweli napiga humu story ila nina ndoa yangu na nina iheshimu sana aisee.. naelekea hata kuacha masihara humu nacho andika sikiishigi hadi watu wameanza nichukulia hivyo ..Nataka tuache(!) uzinzi mkuuπ€£π€£π€£
niambie mtoto mzuri..Mmh asa na ww rafiki angu li uzi la zamaani we ndo unaliona leo afu tusshasahau hata tulicomment manini
Lesson: haya ni mawazo ya mtu na sio kwamba ndivo alivo bhana sawa mzee mubaba
Hii ni sehemu ya kupiga story na kumaliza vistress vidogo na zile stress kubwa, chukulia hivyo na uishi mkuu. Nikizini, akiiba, mwingine akiua...nk wote tunahesabika wadhambi tu na tunahitajo toba ili tusamehewe.πππ mie mbona sio mzinzi na hapa nipo na mke wangu, sema kalala mie kuna ka documents nilikuwa namalizia kukaandaa tu. Ukweli napiga humu story ila nina ndoa yangu na nina iheshimu sana aisee.. naelekea hata kuacha masihara humu nacho andika sikiishigi hadi watu wameanza nichukulia hivyo ..
nitsniambie mtoto mzuri..