Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

Hii ni sehemu ya kupiga story na kumaliza vistress vidogo na zile stress kubwa, chukulia hivyo na uishi mkuu. Nikizini, akiiba, mwingine akiua...nk wote tunahesabika wadhambi tu na tunahitajo toba ili tusamehewe.
Toba ni kubadirika , sio unazini unaomba rehema alafu kesho unarudi haiyo haitakiwa andiko linasema hapo unakuwa vugu vugu Bwana anaweza kukutapika . Ni vyema tuka ishi utawa kama Paul Apostle alivyo mpa mausia Timotheo..
 
Ebu mkuu sorry, hii komenti kwann usiiandikie uzi kabisa yani
 
Mpango wa kuoa? Kwa ambaye hajawahi kuoa na anatamani aoe ataona ni vema tu aoe, ila kwa aliyeoa akakutana na changamoto ya mahusiano ya kindoa kama kusalitiwa na unyanyasaji mwingine ndani ya ndoa, akiachwa au kuacha huwa hatamani tena kuoa. Anaweza kuwa na mahusiano ya kimapenzi yasiyo ya kudumu ya hapa na pale ili tu kupata ile kitu nafsi yake inataka na maisha yanaendelea
 
Duuh
 
 
Issue kubwa hapa inaonekana ni kupata support uzeeni vipi mke wako akitangulia kufa?
Au vipi ikitokea msijaliwe watoto kwenye ndoa halafu umri wa karibu karibu mkazeeka Kwa pamoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…