Hahahaaa. Watuanzishie tu kwa kweli.Hahahh..
Itabidi tuanzishe chama cha watengwa wa piemu(CHAWAPI)[emoji23][emoji23]
Na watuanzishie jukwaa letu kabisa[emoji3]
Ooh. Ahsante Mkuu.PM..Private Message
Kutumiwa msg inbox
Kuchat na mtu, wewe na yeye tu
You are welcome.Ooh. Ahsante Mkuu.
Umenifumbua macho sasa. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kabisaaaaa.Duuuuuuuuh!!
Hatari lakini salama[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ahsante. [emoji120] [emoji120] [emoji120]You are welcome.
[emoji120] [emoji120]Kabisaaaaa.
Salama sana yaani.
Aelewe pia kuna maisha baada ya "jf" "pm"...Mkuu kikubwa upo jf upokee pm usipokee visikuumize kichwa acha maisha mengine yaendelee
Tayari nimeku- pm[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mimi bado.
Hawezi elewa kabisa anajua jf ndio kila kituAelewe pia kuna maisha baada ya "jf" "pm"...
Hahahha,.pole yake aiseee,..abadili mtazamo.Hawezi elewa kabisa anajua jf ndio kila kitu
Hahhahha unalilia watu wa kupm sipendi pm mmHahahha,.pole yake aiseee,..abadili mtazamo.
Hahhahaa watu wanapenda jomoniii shostii "bembelezo"Hahhahha unalilia watu wa kupm sipendi pm mm
NakusabahiHahhahaa watu wanapenda jomoniii shostii "bembelezo"
Oooh habari mpendwa, za kupotea?Tayari nimeku- pm[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Safisha nyota
Hellowww...mambo ako'?Nakusabahi
Niko poa sana, salimie mumu hapoHellowww...mambo ako'?
Asa mambo hayo si ndio tuongee pmOooh habari mpendwa, za kupotea?
Mumu yuko biyee...sijui mbalizi nambari oneNiko poa sana, salimie mumu hapo