Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Watuanzishie tu kwa kweli.Hahahh..
Itabidi tuanzishe chama cha watengwa wa piemu(CHAWAPI)[emoji23][emoji23]
Na watuanzishie jukwaa letu kabisa[emoji3]
Mie ntaomba niwe Mwenyekiti wa hiyo CHAWAPI kwa kweli.
Hahahaaaaa.