Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mbona unapoteza muda bure?
Jf imejaa wachawi...yaani watu na roho zao za kutu.
Kama wanashindwa kutongoza na kuchukua mizigo ya maana wakae kimya milele.
Sasa ukiwa nao au usipokuwa nao wao wanateswa na nini?
Fanya mpango namimi nitoboe huko broYessir [emoji403] [emoji403][emoji403][emoji403]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
UsijaliNakubembeleza kweli serious.
Wengi sana Mkuu!Umekitana na wangapi?
Mwezi huu mbona ni kama umeisha jamani!! Usiwe na haraka wala!Aaah...! Tufanye mwezi huu bwaana. Huu mwezi wa baraka
Barikiwa sanaSawa sawa nimekubali.
HahahahaUna bahati mbaya,tena wanaume wa Dar wapo fasta muonane kama lile goli lao la kwanza
Wewe una fanana na mieSijawahi na Sina mpango.......
I dont meet and talk to strangers. Huwa tunamalizana hukuhuku kwenye comments
Wengi sana Mkuu!
utaanzaje kukutana na mtu wa jf, labda tu iwe ni biashara tu basi, huku jf asilimia kubwa ya watu wapo "disturbed", wengi wana stress za maisha nk, na pia wengi wana chuki na hasira sana, pia wengi wapo kwenye umri kuanzia 28 years kuendelea, labda ndio maana, ila sisi below 25 sina tatizo na yoyote maana wengi wetu tupo tu uku kama torati ya kudownload apps, jf ni app tu kama zingine, ila wengine "hasa hao wanaojiiita wakubwa ndio wapo huku kama kijisehem chao cha kujificha na kutolea hasira zao, sasa wewe ukianzana na mtu huko pm, akikuambia yuko juu ya 25 we achana nae tu ndio huko mnajichotea watu washapitia kila aina ya maisha, kama unatafuta mahusiano, anza na walio karibu yako na sio huku kwa sociopaths....
Kuna mtoto nilimzamia PM hakujibu Leo hii ninashukuru kutokujibu kwake huenda nilikuwa nautafuta msiba, sijawahi kukutana na member yeyote ingawa job kuna watu najua wako JF lakini hawajawahi kuniuliza wala kuwauliza kuhusu JF ni as if hakuna anaeijua!
Kiongozi cha uongoUna bahati mbaya,tena wanaume wa Dar wapo fasta muonane kama lile goli lao la kwanza
Mara ysko ya mwisho kuonana na wana jf ni lini?
Usitake nimwage mchele penye kuku wengi jamani!!Nipe nami nafasi tuonane basi?