Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Mbona unapoteza muda bure?
Jf imejaa wachawi...yaani watu na roho zao za kutu.
Kama wanashindwa kutongoza na kuchukua mizigo ya maana wakae kimya milele.
Sasa ukiwa nao au usipokuwa nao wao wanateswa na nini?

I know.

Nilikuwa nazingua tu.
 
Hiyo username yako simchezo.....

Hata mimi pia sijawahi kuonana na member yeyote yule...Yote ni kwa sababu sitaki shari...maana baadhi ya members wa humu(wengi )wako na mitazamo negative sana
I dont meet and talk to strangers. Huwa tunamalizana hukuhuku kwenye comments
 
Kudos
utaanzaje kukutana na mtu wa jf, labda tu iwe ni biashara tu basi, huku jf asilimia kubwa ya watu wapo "disturbed", wengi wana stress za maisha nk, na pia wengi wana chuki na hasira sana, pia wengi wapo kwenye umri kuanzia 28 years kuendelea, labda ndio maana, ila sisi below 25 sina tatizo na yoyote maana wengi wetu tupo tu uku kama torati ya kudownload apps, jf ni app tu kama zingine, ila wengine "hasa hao wanaojiiita wakubwa ndio wapo huku kama kijisehem chao cha kujificha na kutolea hasira zao, sasa wewe ukianzana na mtu huko pm, akikuambia yuko juu ya 25 we achana nae tu ndio huko mnajichotea watu washapitia kila aina ya maisha, kama unatafuta mahusiano, anza na walio karibu yako na sio huku kwa sociopaths....
 
My ribs
Kuna mtoto nilimzamia PM hakujibu Leo hii ninashukuru kutokujibu kwake huenda nilikuwa nautafuta msiba, sijawahi kukutana na member yeyote ingawa job kuna watu najua wako JF lakini hawajawahi kuniuliza wala kuwauliza kuhusu JF ni as if hakuna anaeijua!
 
Kibiashara sawa ila simu kwa simu na mipango ikatick nikachukua changu au chake kwisha habar.
 
Back
Top Bottom