Inategemea hapa Jf unafanya nini,upo kwa ajili gani,huwa unaandika nini,huwa unapost nini na wakati gani.
Huku watu tumekutana,tumebadilishana hadi mawasiliano na kuonana uso kwa uso na bado kila mmoja akabki na siri bila kumtaja mwenzake hadharani,wengine wanaogopa sana hasa kwa sababu wengi wamefeli kufahamu maana halisi ya forums na usiri wake hasa katika forum hii,kama hujiamini acha kabisa kukutana na member wa humu.
Mi niliwahi kukutana na member mmoja halafu akanipiga picha ya sura yangu,hakufahamu kama nami nilimshtukia na ku,mpiga picha na yeye.
Ni hatari sana usijaribu ukategemea Moods watakutetea saa ukiingia mtegoni.kuwa makini,nasema tena kuwa makini.