Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Nilikutana na memba humu wa jf ni very smart na anaajira nzuri Sana ila aliniomba nisimtaje kabisa mapungufu yake na kiukweli sitataja
 
kwa logistics ya users 500K ni sawa kusema kila kata hapa nchini INA user 1..

hivyo bhaassi @ watu 100..humo unampta mwana JF mmoja2

sukari nyingii
 
Ninatamani sana nikutane na manegelo, ninaomba mahali popote alipo alijue hilo
 
Inategemea hapa Jf unafanya nini,upo kwa ajili gani,huwa unaandika nini,huwa unapost nini na wakati gani.
Huku watu tumekutana,tumebadilishana hadi mawasiliano na kuonana uso kwa uso na bado kila mmoja akabki na siri bila kumtaja mwenzake hadharani,wengine wanaogopa sana hasa kwa sababu wengi wamefeli kufahamu maana halisi ya forums na usiri wake hasa katika forum hii,kama hujiamini acha kabisa kukutana na member wa humu.
Mi niliwahi kukutana na member mmoja halafu akanipiga picha ya sura yangu,hakufahamu kama nami nilimshtukia na ku,mpiga picha na yeye.
Ni hatari sana usijaribu ukategemea Moods watakutetea saa ukiingia mtegoni.kuwa makini,nasema tena kuwa makini.
 
Back
Top Bottom