Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Uonane na mimi urudi kunichamba hukuNimefikiria u-fermacy wako humu,lazima utakuwa umekutana nao sana. Ila hata mimi kama naota kukutana na wewe vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uonane na mimi urudi kunichamba hukuNimefikiria u-fermacy wako humu,lazima utakuwa umekutana nao sana. Ila hata mimi kama naota kukutana na wewe vile
Ni sumbawanga mkuu. Lakini kama uko dar iko ubungo kule kwa nyuma,ukiingia tu humo unajikuta uko sumbawanga
To do what Da'Vinci:?. To meat with anybody here or to meat with me?
Nimefikiria u-fermacy wako humu,lazima utakuwa umekutana nao sana. Ila hata mimi kama naota kukutana na wewe vile
Labda kwa TVMuwe wakweli hamjawahi kuonana na hata Hawa wafuatao baadhi Yao
1. Pascal Mayalla
2. Paul Makonda
3. Nape Nnauye
4. Maxence Melo n.k.
UongoSijawahi
Mnaogopa nini kuonana na watu? Mtakuwa mna masura mabaya labda. [emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I wish to meet with either you or any member
Ukweli ni upi?Uongo
😁😁😁Mnaogopa nini kuonana na watu? Mtakuwa mna masura mabaya labda. [emoji38][emoji38]
We jamaa bhana!eti to meat [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huendi mbinguni mimi nakuambia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] u-fermacy!
Haiwezi kuwa sababu, mbona mimi na lisura langu libaya naonana nao tuMnaogopa nini kuonana na watu? Mtakuwa mna masura mabaya labda. [emoji38][emoji38]
Itakuwa ndo hivyo teh[emoji16][emoji16][emoji16]
inawezekana dear kuna ukweli.Itakuwa ndo hivyo teh