Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]duh ukamfata maza mtu daah demu nahisi ulipomaliza hakurudiana tena na wew
 
Mie nililala demu akanisachi akakimbia kaondoka na laki mbili na 80 mpaka leo sina hamu
 
Nishawah kumtoroka demu asubaa ile naingy kwenye kosta kama kawa nkawah siti ya mbele kufika mbele kdg lahaula nae anasimamisha hy hy kosta hahaha nilichanganyikiwa nkajikuta namuambia dereva huyo haendi huyo.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] ngoja nikae kwanza dnia hii
 
Aiseeee wanaume wabaya nyie kuna mwingine aliopoa changudoa wakat wa kulala akavuta kitanda mpaka mlangoni akaogopa kuibiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ohoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] GeoMex mkaambulia mzigo shuka mlizichomea wapi haaa haa pole sana mkuu
Hahaaaaa alituachia parcel sio ya dunia hii

Ujana bwana
 
Nimeishia kucheka tu kweli hiyo mbwa kala mbwa!
 
Nishawah kumtoroka demu asubaa ile naingy kwenye kosta kama kawa nkawah siti ya mbele kufika mbele kdg lahaula nae anasimamisha hy hy kosta hahaha nilichanganyikiwa nkajikuta namuambia dereva huyo haendi huyo.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh umenifurahisha mkuu, eti wamezolewa kama chawa!
 
Duuh umenifurahisha mkuu, eti wamezolewa kama chawa!
ndio mkuu ilikuwa ni hatari" mimi mambo ya mtungo nilikiwaga najiepusha nayo mnooo..sikatai nimefanya mno umalaya "" lakini hilo lilikuwa linanishinda ""
 
Hahaaaaa alituachia parcel sio ya dunia hii

Ujana bwana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sipati pic harufu yake tena alitoa kwa hasira duu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
huyu manzi bhana ilitokea tukasafiri basi moja na tukafika usiku...

pale×2 stand ya bus kiulaini nikajiopolea;Sasa ile guest tuliyofikia bafu lake lipo kwa nje...

kidume nikatangulia kuoga ile asubuhi,nikamshawishi naye akaenda kuoga...akakubali

Sikufanya makosa
 
Thailand 2012,nimeingia mji wa watu sina hata wiki,kuna mdada alikuwa rafiki wa demu wa mshkaji wangu,bas nikawa namnyapia mdogomdogo,demu anajifanya haelewi somo, ,sku tukakutana kene party night kali nikaforce kumsindikiza hotelini kwake,kufika ndani shosti ananikazia,baadae ananambia anataka hela kwenda shopping kesho yake,mie hapo uchu umepanda akili imehamia kichwa cha chini.nkamuuliza shingapi akanambia 250$,nkamwambia mbona ndogo hyo ntakupa 500$mtoto mzuri,bas mtoto akalegea tukafanya yetu,sasa kimbembe kulipokucha,demu ananiamsha nimpe hela aende shopping,akili sasa imerudi najuta kwanini niliahidi kutoa mieala yote hyo.nlichofanya nikampa kadi ambayo najua haina sumni na siitumii tena, nkajifanya bado nina usingizi nkampa na password nkamwambie akatoe then anipitie tuondoke,nkijua fika ATM ya karibu iko kilomita mbili kutoka tulipo,alipotoka na mie nkaamsha zangu.basi demu wacha amaindi miksa matusi,anaanza kutoa vitisho kuwa kashatafuta wahuni wananisaka wanifanyizie,mie foreigner tu,siwezi muingiza mjini.bahti nzuri huo mji nlikuwa napita tu baada ya wiki nikaamsha zangu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
 
Kifuatacho wote mnaachwa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hahah!!! Basi acha nikuibie siri kuna kupindi vimtu vilijifanya kunipenda sana vilivyojuana vilichambana, mwisho wa siku vilipanga viniite mtu kati nichague mmoja basi mmoja akaniita kumbe ni mtego hapo wapo wote....

Nikaenda bhn acha linishuke ila sikutaka mjadara na mtu niligeuka simba sitaki kusikia swali lolote nikaondoka kwa hasira nikawaacha pale.....

Basi kati ya wote hakuna ata mmoja nilieendeleanae
 
Haaaa haaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kuna mwenzio mmoja yeye walimdunda sana kwa kumchangia kisha wakaondoka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Haaaa haaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kuna mwenzio mmoja yeye walimdunda sana kwa kumchangia kisha wakaondoka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikuaje alikua mnyonge hivyo adi adundwe na kinadada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…