Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Dem akikwambia apigwi bure hapo kinachofuata ni maelewano baada ya hapo unatoa mpunga ndio show inaendelea
Vinginevyo hii ni gahawa
Wana akili ya kazi wale
 
Hizo enzi za chuo angenikulaaa au ningempa promisee
Haaaa best sikuwezi unapima uzito kwanza duu, kuna binti aliwahi nisimulia aliondoka na mbaba huyo kufika ndani yule me siakachojoa ile kuona tu eti mam yangu moyo wangu paaa[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] kaomba kwenda chooni mbio hizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
haha haaa
 
siunamtia block tu " unasubiri vichambo vya nini sasa ""!?
 
Maisha haya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiwa form3, kaja teacher wa math, na tuition zake kumbe anamezea mate kanipanga vizuri mpaka hela ya kula ili niwahi kutoka nyumbani nami nilivyokuwa mkimya nikakubali kwa tabasamu safi, kesho yake niliwahi darasani badala ya huko, wanafunzi wanaulizana mbona teacher leo kachelewa mie nacheka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] najua kabisa nasubiliwa huko kaja kachelewa macho mekundu na alivyokuwa mrefu mwembamba mweusi nachekea chini chini aliishia kunipiga na chaki [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mimi nilimkimbia demu kisa bili kubwa pale Travertine hotel Magomeni,ebwanae kesho nakuja pale,waitress ananiambia yule demu alipiga ofa kila fuvu lililozama hotelini pale,na alifanya vile kama kiburi na jeuri ya Mashilingi.
 
huo ndo ushikaji...unakula na bado unamuachia na contacts...na mtonyo.
 
Kwa hiyo unamkula wife wa mtu kumpunguzia frustrations?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…