Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Scenario 1;

Mwaka 2016, Novemba, Dar es Salaam, Sinza, lodge ya Twiga:

Tulikuwepo tupo mitaa ya Katalaunya pale na wanangu km watano hivi tunakula maji/pombe za kutosha. Ilivyofika mishale ya saa 3 usiku, kuna manzi mmoja alikuwepo anawinda pale anakunywa soda..mzuri kishenzi..zigo haswa,, nikamuita akatujoin..siunajua tena malaya wa Sinza anajifanya anasoma Ardhi, kumbe anawinda..Anajifanya anaongea kikristo tu (english) ili tumuamini anasoma kweli ili atupige vizuri. Mishale ya saa 5unusu tukaingia calabash pale..tukapiga za kutosha sana,, demu kala savanah kawaka kishenzi. Mfukoni nikaanza kuyumba..nikabakia na 50 tu, wana nao kila mmoja ana ratiba nying siunajua weekend tena.. huyu anataka kwenda triple 777, mwingine 40 40 vurugu tupu ilimradi kila mtu apate wa kuosha rungu. Nikamwambia msomi fake wa Ardhi twende zetu tukapumzike siye. Tukaingia Lufungila kituoni, km twaja meeda tukaingia opposite na kanisa la kakobe..Kitu Twiga Lodge hiyo..Kila mtu kawaka.. Mtoto kazama chumbani, Kabla sijamsaula,demu kanichana mm sipigwagi bure..nikamuuliza unataka sh ngap..nataka laki 2, nikasema No, ntakupa, laki na nusu Kakasema Poa. baada ya kulipa chumba, Mfukoni nimebakia na elfu 10..Basi tumetafunana kwelikweli...Saa 2 Asubuhi nikamstuka, nikavaa fasta..nikaiweka ile elfu 10 juu ya kitanda ili akimka tu aione itakuwa nauli yake, nikachukua funguo ya gari nikasepa...

Nilimkimbia kwakuwa that night sikuwa na pesa..but miye nipo mwaminifu sana tukikubaliana.. sema laki na ns nayo kubwa sana kwa 1 night labda km unapewa na kashata..hahahhhah.. Samahani sana mwanafunzi fake wa Ardhi..sema kwa kikristo/english kile mtu anaweza ingia kingi.

Ebu tupe na wewe experience YAKO vip hujawahi kumkimbia mtu bar..au lodge kutokana na bili kuwa kubwa..

na wanawake ambao unakimbiaga madanga kabla halijakula..ebu tiririka hapa au umekula sana za mwanaume bado unamkwepa funguka
Dem akikwambia apigwi bure hapo kinachofuata ni maelewano baada ya hapo unatoa mpunga ndio show inaendelea
Vinginevyo hii ni gahawa
Wana akili ya kazi wale
 
Hizo enzi za chuo angenikulaaa au ningempa promisee
Haaaa best sikuwezi unapima uzito kwanza duu, kuna binti aliwahi nisimulia aliondoka na mbaba huyo kufika ndani yule me siakachojoa ile kuona tu eti mam yangu moyo wangu paaa[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] kaomba kwenda chooni mbio hizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimekumbuka kuna jamaa yangu aliwahi enda na dem Hotel, tukachukua room double sasa nikiwa kitandani kwangu naskia jamaa anamwambia dem si uweke, dem kakazana weka wewe, mwisho wa siku jamaa kamwambia huyo dem shika uweke wewe dem kamwambia mbona siioni mi naona mkono, kumbe hicho anachokiita mkono ndo mashine yenyewe.
Sasa story yako imenikumbusha that day Mrs Jr.[emoji23]
haha haaa
 
Hako kamtindo nimekafanya sana ila siku hizi nimeacha. Kamtindo hako ni kazuri kuwafanyia wale wadada wanaojiona sana, au waliokufanya uhangaike sana kuwapata. So unampeleka kiwanja una mla, anakunywa , halafu unaaga kama unaenda chooni....huyooo safari na mguu, so anawaita wajomba zake ndo wanamlipia. game over. ila jiandae na vichambo
siunamtia block tu " unasubiri vichambo vya nini sasa ""!?
 
Mimi Kwa kukimbia story nyingi sana mwingine alikuwa Teacher nipo form 4 akanipa majibu ya mtihani eti weekend jumapil huwa tunatoka nje kusali nichukue namba yake nimbip alikuw anakaa Kama unaenda mbande huko chamanzi basi akaniachia 20000 nipande tax nisionekane alafu nimbip hiyo sku hata kanisani sikuenda J3 alivyokuja muda WA mchana akaniona nimekumbatia handsome Wa form 5 tulikuwaga tunapendana akatukamata akatuchapa viboko mbele ya shule nzimaaa eti ametukuta tunapiga denda ila handsome wangu nilishamwambia story jioni tukaenda canteen kujipoza na chips yai na soda Kwa ile helaa. Toka hiyo siku mwl alinichukia nahisi mpaka Leo.
Maisha haya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiwa form3, kaja teacher wa math, na tuition zake kumbe anamezea mate kanipanga vizuri mpaka hela ya kula ili niwahi kutoka nyumbani nami nilivyokuwa mkimya nikakubali kwa tabasamu safi, kesho yake niliwahi darasani badala ya huko, wanafunzi wanaulizana mbona teacher leo kachelewa mie nacheka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] najua kabisa nasubiliwa huko kaja kachelewa macho mekundu na alivyokuwa mrefu mwembamba mweusi nachekea chini chini aliishia kunipiga na chaki [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mimi nilimkimbia demu kisa bili kubwa pale Travertine hotel Magomeni,ebwanae kesho nakuja pale,waitress ananiambia yule demu alipiga ofa kila fuvu lililozama hotelini pale,na alifanya vile kama kiburi na jeuri ya Mashilingi.
 
Nyakati fulani nilikua sehemu moja inaitwa Hungumalwa-Mwanza, basi weekend nikasema niende town. Kuna club moja inaitwa Rockbottom. Nikaparty sana nikamuona mtt mmoja mkali sana, basi nikajoin, tukapiga mtungi hadi saa 10, mimi hali niko hoi, na asubuhi nilipashwa kufanya manunuzi fulani, basi nikamchomoa 'mrembo', tukafika hoteli moja inaitwa Isamo, Room kuambiwa imebaki suit tu 50, nikabargain na receptionist kwa hoja kua time hii almost kumekucha, nikaclear 30, nikabaki na 40. Basi yakajili yakujili room , sema niligundua yule binti amelewa sana. Nimestuka saa 2 asubuhi, 'mrembo' kazima bado. Basi nikapiga maji, kuondoka nikamuwekea simu yake charge(last night alicomplain haikua na charge na hakua na charger), nikamuachia 20 mezani na namb yangu kwenye karatasi. Mchana wake binti karuka hewani , haamini kilichojiri..hadi leo ni 'mshkaji' wangu sana.. Unfortunately nilinote ni married woman sema ana frastuations za ndoa..
huo ndo ushikaji...unakula na bado unamuachia na contacts...na mtonyo.
 
Kwa hiyo unamkula wife wa mtu kumpunguzia frustrations?
 
Back
Top Bottom