Escort ndo wapoje hao?Kweli na tungepata mapato pia kupitia hiyo biashara. Bongo bora uchukue escort wapo wengi japo sio professional. Ngoja nkaombe kibali niwafungulie na web kabisa watoto wazuri wote wamjini nawaweka humo niwapunguzie kaka zangu kasi ya kula machangudoa wa Sinza
Mimi sikimbii ningeamka asbh nikampa niliyonayo nyingine itabaki deni.Funguka siku ile ulivyonikimbia
Uchochezi[emoji23]Teeeeeeeeeenaaa mupe mupeee mupeeeee bill juu yangu
leo ndio kesi yao eeh?Ban itahusika ngoja mods watoke Kisutu
Najua najua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]comment zisikutishe mengine chumvi
Eeeh ni leo. Mungu awasimamie watoto wifi zetu wasilale na majonzi jamanileo ndio kesi yao eeh?
Kastor kazuri,wanaume tumejifunza kituNimekumbuka kuna mkaka mmoja wa mjini. Tapeli kishenzi. Ukimuona utasema Mungu amekupa mume wa maisha yako. Kumbe amekuja kukudanga hicho ulichonacho mgeiane. Sasa kazoea utapeli akaenda club akapata mwanamke wakaenda hotel. Asubuhi anamwambia atamtumia Tigo pesa. Dada wa watu akipiga simu anapokelea chekundu. Siku paap wakakumbana 777. Dada alimjazia watu. Akamwambia leo utanilipa hela yangu hapo hana hata 10 bia zenyewe ananunuliwa. Kuona aibu inazidi washkaji zake wakajichanga wakamlipia 50k. Kimbia mtu ila kuwa makini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upo vizuri mama
Nikiwa nasoma udsm kule hostel za mabibo kuna.mkaka huyo jaman ni tapeli sijapataaa kuonaaaa yaaan wasichana wengi wanadanganyikaga naye saanaa kuja kumgunduaa ushafika.mwka wa pili ,full macheni ya silver,kila nguo mpyaa anayo magari kila siku anabadilisha kumbe sio yake yaaaan siku ya kuja kujua ni dalali nilichoka nikasema atawala wengi saanaaNimekumbuka kuna mkaka mmoja wa mjini. Tapeli kishenzi. Ukimuona utasema Mungu amekupa mume wa maisha yako. Kumbe amekuja kukudanga hicho ulichonacho mgeiane. Sasa kazoea utapeli akaenda club akapata mwanamke wakaenda hotel. Asubuhi anamwambia atamtumia Tigo pesa. Dada wa watu akipiga simu anapokelea chekundu. Siku paap wakakumbana 777. Dada alimjazia watu. Akamwambia leo utanilipa hela yangu hapo hana hata 10 bia zenyewe ananunuliwa. Kuona aibu inazidi washkaji zake wakajichanga wakamlipia 50k. Kimbia mtu ila kuwa makini
Huyo hata 777 sio kiwanja chake. Sema watu wa mjini wanapenda sana kwenda 777 Jumatano kwenye karaoke.Kastor kazuri,wanaume tumejifunza kitu
Tusiharibu maeneo ya nyumbani
But mkuu hawa watu sio wa kuzoea kukimbia. Malaya ana akili sawa na panya road au mkorea mweusi. Nilishawahi shuhudia jamaa anavunjiwa chupa kichwani bar.. Dem anadai jamaa alimtoroka lodge baada ya kupiga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukiwa mshamba wa kushobokea magari kuliwa rahisi sana. Sasa huyu tapeli yeye ni kwenye kuongea na muonekano. Akiongea utatamani aendelee maana ni anaongea mapoint matupu kumbe bureeeNikiwa nasoma udsm kule hostel za mabibo kuna.mkaka huyo jaman ni tapeli sijapataaa kuonaaaa yaaan wasichana wengi wanadanganyikaga naye saanaa kuja kumgunduaa ushafika.mwka wa pili ,full macheni ya silver,kila nguo mpyaa anayo magari kila siku anabadilisha kumbe sio yake yaaaan siku ya kuja kujua ni dalali nilichoka nikasema atawala wengi saanaa
Kwel kabsa unafaa maana umepitia meng[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]usinijaze upepo
Demiss na mm nmetoka kukusifia sa hiv kua ww ni wife material usiniangushe kwa huyo popoto aliyekuambia ivyo!!!! Ebu tuonyeshe your maturityEhehehheheheiyaaa nikucheke Kwanzaa falllla wewe soma vizur hiyo story ilikuwa mwaka gan Kwanzaa wewe chokoo usitake nianze asubuhi yangu Kwa ban kolooo wewe
Ilaa pale mwenzangu madanga yaaanza kupunguaaaa ,katalunyaa ndo kabisa siki hizi hamna kituHuyo hata 777 sio kiwanja chake. Sema watu wa mjini wanapenda sana kwenda 777 Jumatano kwenye karaoke.
Katalunya kulishajifia. Kuna siku nlikutana na Mike ile Katalunya ingine kapauka hata sura ya hela haipo tena. 777 madanga bado yapo sema nayo yamebanwa na kingine yameshakula wanawake wengi sasa hata wakiona hawawezi shobokea maana wanajua we shemeji yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wanahonga honga bado japo si kama zamani.Ilaa pale mwenzangu madanga yaaanza kupunguaaaa ,katalunyaa ndo kabisa siki hizi hamna kitu