Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Kweli na tungepata mapato pia kupitia hiyo biashara. Bongo bora uchukue escort wapo wengi japo sio professional. Ngoja nkaombe kibali niwafungulie na web kabisa watoto wazuri wote wamjini nawaweka humo niwapunguzie kaka zangu kasi ya kula machangudoa wa Sinza
Escort ndo wapoje hao?
 
Nimekumbuka kuna mkaka mmoja wa mjini. Tapeli kishenzi. Ukimuona utasema Mungu amekupa mume wa maisha yako. Kumbe amekuja kukudanga hicho ulichonacho mgeiane. Sasa kazoea utapeli akaenda club akapata mwanamke wakaenda hotel. Asubuhi anamwambia atamtumia Tigo pesa. Dada wa watu akipiga simu anapokelea chekundu. Siku paap wakakumbana 777. Dada alimjazia watu. Akamwambia leo utanilipa hela yangu hapo hana hata 10 bia zenyewe ananunuliwa. Kuona aibu inazidi washkaji zake wakajichanga wakamlipia 50k. Kimbia mtu ila kuwa makini
 
Kastor kazuri,wanaume tumejifunza kitu

Tusiharibu maeneo ya nyumbani
 
Nimekumbuka kuna mkaka mmoja wa mjini. Tapeli kishenzi. Ukimuona utasema Mungu amekupa mume wa maisha yako. Kumbe amekuja kukudanga hicho ulichonacho mgeiane. Sasa kazoea utapeli akaenda club akapata mwanamke wakaenda hotel. Asubuhi anamwambia atamtumia Tigo pesa. Dada wa watu akipiga simu anapokelea chekundu. Siku paap wakakumbana 777. Dada alimjazia watu. Akamwambia leo utanilipa hela yangu hapo hana hata 10 bia zenyewe ananunuliwa. Kuona aibu inazidi washkaji zake wakajichanga wakamlipia 50k. Kimbia mtu ila kuwa makini
Nikiwa nasoma udsm kule hostel za mabibo kuna.mkaka huyo jaman ni tapeli sijapataaa kuonaaaa yaaan wasichana wengi wanadanganyikaga naye saanaa kuja kumgunduaa ushafika.mwka wa pili ,full macheni ya silver,kila nguo mpyaa anayo magari kila siku anabadilisha kumbe sio yake yaaaan siku ya kuja kujua ni dalali nilichoka nikasema atawala wengi saanaa
 
But mkuu hawa watu sio wa kuzoea kukimbia. Malaya ana akili sawa na panya road au mkorea mweusi. Nilishawahi shuhudia jamaa anavunjiwa chupa kichwani bar.. Dem anadai jamaa alimtoroka lodge baada ya kupiga

Hahahahaaa Malaya noma. Unanikumbusha miaka ya 2009/2010 hivi wakati huo tunaanza kazi kigeto kimoja Basi maafisa ndo sisi mabishoo balaa.

Sasa Kuna jamaa yangu alikua hajapanga bado kazi yake kudandia tunazunguka kulala kila sehemu Kama tupo hostel bado. Mie geto kwangu nikipata mlupo nampiga exile anaenda kulala kwa mwana mwingine na yy akipata bas nampisha. Sasa weekend Moja kaokota Malaya nikampisha bwana wanekubaliana fresh atamtoa 30. Kumbe mwana ule usiku gambe na Nini kamaliza hela yote kabakia na Kama buku 4 tu. Kapiga mzigo fresh kamgalagaza dada wa watu kufika saa11 Dem anataka chake jamaa kaanza saundi Mara mpesa imefanyaje sijui Mara subiria kukuche zogo zogo kweli nimekuja kusimulia na majiran zangu. Mwana ananiambia Dem Hadi alimsachi ndo kamkuta na buku4 tu Dem kamaindi balaa humo ndani hataki kutoka

Sasa mida ya saa Moja asubuhi hivi mwana kanipigia simu mi mbio nikaokoe jahazi mshkaji akafanya kosa akaenda uwani. Choo Cha nje daaah ile anarudi anakuta Dem kashasepa na mie nafika nakuta Dem katuachia bonge la kimba la mavi kitandani Yani la motooo kakwara na ile buku nne yake

Hahahhaaaa tulibaki kucheka tu kwa ule mzigo Yani Dem Kama alijiandaa siku nne kitu inaweza kujaa ndoo Yani alijikamua yote ile

Tukaishia kuchoma Moto shuka zangu na harufu kwenye kitanda ilikaa Kama wiki hivi
 
Nikiwa nasoma udsm kule hostel za mabibo kuna.mkaka huyo jaman ni tapeli sijapataaa kuonaaaa yaaan wasichana wengi wanadanganyikaga naye saanaa kuja kumgunduaa ushafika.mwka wa pili ,full macheni ya silver,kila nguo mpyaa anayo magari kila siku anabadilisha kumbe sio yake yaaaan siku ya kuja kujua ni dalali nilichoka nikasema atawala wengi saanaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukiwa mshamba wa kushobokea magari kuliwa rahisi sana. Sasa huyu tapeli yeye ni kwenye kuongea na muonekano. Akiongea utatamani aendelee maana ni anaongea mapoint matupu kumbe bureee
 
Ehehehheheheiyaaa nikucheke Kwanzaa falllla wewe soma vizur hiyo story ilikuwa mwaka gan Kwanzaa wewe chokoo usitake nianze asubuhi yangu Kwa ban kolooo wewe
Demiss na mm nmetoka kukusifia sa hiv kua ww ni wife material usiniangushe kwa huyo popoto aliyekuambia ivyo!!!! Ebu tuonyeshe your maturity
 
Ilaa pale mwenzangu madanga yaaanza kupunguaaaa ,katalunyaa ndo kabisa siki hizi hamna kitu
Katalunya kulishajifia. Kuna siku nlikutana na Mike ile Katalunya ingine kapauka hata sura ya hela haipo tena. 777 madanga bado yapo sema nayo yamebanwa na kingine yameshakula wanawake wengi sasa hata wakiona hawawezi shobokea maana wanajua we shemeji yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wanahonga honga bado japo si kama zamani.
 
Back
Top Bottom