Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Haya ni mambo ambayo unafanya kwa koo zilizoendelea ambazo zinaelewa haya mambo.Kama utoi mahali wanachukua mtoto wao eeeh itakuaje hapo..!?
Point ya ķuacha kutoa mahari ni kumtambua mwanamke kama mtu, si chombo, si bidhaa, mtu mwenye utu wake.
Na kama familia yake inaelewa hayo, haiwezi kumfanya bidhaa, haiwezi kulazimisha ulipe ili kuwa naye.
Inabidi uijue familia kabla ya kuoa. Ukiwa hujafanya hiyo homework, una tatizo kubwa zaidi ya mahari.