Wale ambao tunaishi na watoto wa watu na hatujapeleka hata 100 ya mahari tukutane huku

Mimi sikubaliani na Bible wala juzuu sasa.

Na kulipa mahari naona ni sawa na kumnunua mwanamke.

Unawezaje kutenganisha kulipa mahari na kumnunua mwanamke?
Kama hukubaliani na Bible ukisikia in Bible isack alilipa mahari kwa Rebeka hutatilia maanani ,kununua mwanamke ni kama tajari wa Dubai alimnunua Janeth Jackson kwa miaka 5 ilipotimia 5 yes Janeth Jackson akatimka huyo alinunuliwa aikuwa mahari ile
 
Hujatofautisha mahari na kumnunua mwanamke. Kuna watu wanaishi na mwanamke kwenye ndoa, halafu kunatokea talaka, wanadai mahari yao kwa sababu mwanamke kataka talaka.

Sasa hapo utasemaje mahari si hela ya kumnunua mwanamke?
 
Ndio maana nikakuuliza mtazamo wako kuhusu mahari ni upi.

Kama unasema hiyo sio mahari, basi tuishie hapo.
Kama kugharimia harusi ni mahari, wale watu wote wanaotoa michango ya harusi Tanzania huwa wanatoa mahari?
 
Hujatofautisha mahari na kumnunua mwanamke. Kuna watu wanaishi na mwanamke kwenye ndoa, halafu kunatokea talaka, wanadai mahari yao kwa sababu mwanamke kataka talaka.

Sasa hapo utasemaje mahari si hela ya kumnunua mwanamke?
Falsafa zako zimesha conclude mahari ni biashara ya kumnunua mwanamke ebu hizo hizo falsafa zako genius tujuze unapisikia mahari ni Utamaduni unaelewa nini?

Ukisikia kuna Utamaduni wa kutoa mahari unaelewa nini?

Na ukisikia kuna Utamaduni wa kudai mahari ilirudihswe unaelewa nini ,Utamaduni wako bwashee ushausahau mara hii?
 
Utamaduni ni utamaduni tu, hilo halimaanishi kitu kikiwa utamaduni ni kibaya au kizuri.

Inabidi tukichambue kitu chenyewe, tupate uzuri au ubaya wake. Bila kujali kama ni utamaduni wetu au si utamaduni wetu.

Mathalan, ukisikia kuna kabila la watu linachinja na kuwala nyama watoto wao wa kike wanaozaliwa siku ya Jumatano, utakubali utamaduni huo na kusema jambo hili ni sawa kwa sababu ni utamaduni?

Kitu kuwa utamaduni haimaanishi ni kizuri au kibaya, inabidi tukichambue kitu chenyewe tuone kina faida au hasara gani katika jamii. Kina uzuri au ubaya gani katika jamii.

Na huu utamaduni wa kumuuza mwanamke kwa bei awe mke wa mtu unashusha utu wa mwanamke, ni utamaduni uliopitwa na wakati, tunatakiwa tuuache. Angalau tuitupilie mbali hoja ya "utamaduni", tujadili jambo kama jambo, maana tushaona kuwa, kitu kuwa utamaduni hai guarantee kuwa kizuri, na kitu kutokuwa utamaduni wetu hai guarantee kitu kuwa kibaya.

Mbona kuna tamaduni nyingi mbaya watu wanaacha?

Kwenye logical fallacies kuna fallacy inaitwa "appeal to tradition".

Hoja ya "utamaduni" ni logical fallacy, ni appeal to tradition.

You live in roma umeadapt kuwa mroma ughaibuni huko blacks baada ya kuona wenyeji hawana Utamaduni na mila za mahari mnawish na Africa tamaduni za mahari ziachwe. Zipo tamaduni na mila nyingi Africa zimeshaondolewa mfano wasichana kukeketwa kutosomeshwa kwa madai wataolewa mageuzi makubwa yamefanywa kumkomboa wasichana kwenye elimu ,wasichana ndio wanaongoza kuingizwa kidato Cha tano Advanced education selection ya 2023 mpaka inapigiwa kelele kuwa 2023 selection ya wasichana imekuwa kubwa sana. Kunanongezeko kubwa sana la wanawake kwenye uongozi tofauti na zamani hata Rais wa nchi ni Mama mhe. Rais SSH.
Iwapo wazazi na wasichana wenyewe wakipiza sauti kwamba hawataki kuolewa kwa mahari na jamii ikakubali harakati hizo Utamaduni na mila ya mahari mabadiliko lakini up to now ukimtongoza mdada ukimwambia unataka kumuoa atakwambia kanitolee mahari kwetu ,wapo wasichana wanawaambia wapenze wao kwamba kijana wake kama hana mahari ya kutoa msichana yuko radhi kumpa mvulana wake wake pesa anajikipisha mahari ili aolewe Sasa hapo utasema msichana kajinunua.

Huku Tz hakuna hata NGO inayopiga jalamba kukataa ulipwaji.wa.mahari zaidi ya nyie wachache mliopo ughaibuni uroma wa ughaibuni mnataka kuuleta Africa kwenye ethnic yenu.

This logical fallacy is called appeal to tradition.
 
Tatizo lako huwezi kufanya mawazo ya kimantiki na kifalsafa. Unakimbilia assumption kwamba kila kitu kinaendeshwa na uchumi, halafu hata huo uchumi wenyewe una conclude kwa logical fallacy ya non sequitur.

Ukisikia mtu anapinga mahari, una assume anapinga mahari kwa sababu ya umasikini.

Wakati inawezekana kabisa wanaotaka mahari ndio wanataka mahari kwa sababu ya umasikini.

Nyerere hakuwa masikini, alikuwa mtoto wa Chifu, baadaye akaja kuwa rais wa nchi, lakini alipinga mahari kwa misingi ya kifalsafa na kimantiki.

Ila, naelewa si kila mtu ana uwezo wa kuelewa hilo kwa hoja zangu ambazo ziko sawa na hoja alizozitoa Nyerere.

"Nyerere describes bride price as evil in posthumous bio"
Mahari ni utumwa kwa dunia ya sasa. Nakubali hoja zako mkuu
 
Hata manabii walilipa mahari maandiko yanasema
Maisha ya zamani yalikuwa tofauti sana na sasa. Zamani ukioa una mmiliki mwanamke, una mcontrol kulingana na matakwa yako, baadhi ya mila ziliruhusu kuadhibu inapobidi kwa kuw umelipa mahari. Anakufanyia kazi zako na kukuhudumia utakavyo. Sahivi hzo mila za kuwa juu mnaita mfumo dume na mnasema ni unyanyasaji wa mwanamke. Sahv unaweza oa na akasema amepata kazi kenya na huna mamlaka ya kumzuia. Je, hizo mila mnazotetea za kiafrika bado zipo? Wazazi waliweza kuamulia binti mume, bado zipo?.
In short mila nyingi za zamani zinapotea kwa kutetea haki za wanawake so power ya mwanaume juu ya mwanamke imepotea. Siku hizi tunaoana cyo kuolewa na kuoa.
Mahari zifutwe. Kama matunzo wanaume nao walitunzwa, walilelewa mpka ansonekana anafaa kuwa mume. Mwanamke ukiolewa huendi kumfaidisha mwanaume. Kama na raha ya tendo mnapata wote, watoto ni wenu wote, mkichuma mali ni zenu wote, shida mnasaidiana, nini special unaenda kumfaidisha.?
 
Mimi sikusomeshwa na hivyo vyote?

Then utamaduni ni static ama dynamic? Ukijibu hili swali litakusaidia kueleza mada hiyo.
Ni dynamics ndo maana zamani wanawake walikuwa hawamiliki mali, hawana maamuzi kwenye ndoa, wanapigwa, hawapewi uongozi ila sasa vyote hivyo vimebadilika. Hivyo hata la mahari watu wanaweza badilisha mtazamo
 
Biblia ndio inaagiza hivyo

Kazi ya Mume kutunxa mke na familia
Biblia haipitwi na wakati hata siku moja
Tufungue vifungu vya biblia mna uhakika vyote vinafuatwa mpka sasa? Ama tuvilete afu utuambie kwanini vingine mmepuuza ila la mume kuwajibika mnalikomalia?
 
Maisha ya zamani yalikuwa tofauti sana na sasa. Zamani ukioa una mmiliki mwanamke, una mcontrol kulingana na matakwa yako, baadhi ya mila ziliruhusu kuadhibu inapobidi kwa kuw umelipa mahari. Anakufanyia kazi zako na kukuhudumia utakavyo. Sahivi hzo mila za kuwa juu mnaita mfumo dume na mnasema ni unyanyasaji wa mwanamke. Sahv unaweza oa na akasema amepata kazi kenya na huna mamlaka ya kumzuia. Je, hizo mila mnazotetea za kiafrika bado zipo? Wazazi waliweza kuamulia binti mume, bado zipo?.
In short mila nyingi za zamani zinapotea kwa kutetea haki za wanawake so power ya mwanaume juu ya mwanamke imepotea. Siku hizi tunaoana cyo kuolewa na kuoa.
Mahari zifutwe. Kama matunzo wanaume nao walitunzwa, walilelewa mpka ansonekana anafaa kuwa mume. Mwanamke ukiolewa huendi kumfaidisha mwanaume. Kama na raha ya tendo mnapata wote, watoto ni wenu wote, mkichuma mali ni zenu wote, shida mnasaidiana, nini special unaenda kumfaidisha.?
Saivi chuma chuma tu 🤣
 
Tufungue vifungu vya biblia mna uhakika vyote vinafuatwa mpka sasa? Ama tuvilete afu utuambie kwanini vingine mmepuuza ila la mume kuwajibika mnalikomalia?
Hoja ya biblia na vitabu vya dini haina mashiko.

Mfano.

Vitabu vimeruhusu utumwa, sheria za leo zimepiga marufuku utumwa.

Sasa tuendelee na utumwa leo kwa sababu vitabu vimeruhusu utumwa?

Ni wazi vitabu vimepitwa na wakati.

Mambo mazuri tutayafanya kwa sababu tunakubali mantiki ya uzuri wake, si kwa sababu yameandikwa kwenye misahafu.
 
"Nyerere describes bride price as evil in posthumous bio".

Watu wenye kufikiri kwa kina tunaelewa hili.

Machi 8, 1975, siku ya wanawake duniani [sioni sababu ya kuwa na siku ya wanawake duniani] Nyerere alihutubia mkutano wao na kuzungumzia suala la usawa na mahari!

Very interesting. Hii ni Nyerere akizungumza kwa sauti yake. Si nukuu tu zilizopo kwenye makaratasi. Ni yeye mwenyewe.

Anasema “mahari na usawa havipatani”.

Kama vinapatana, basi na wanaume nao watolewe mahari.

View: https://youtu.be/my5f-P-ndYA?si=u3n-4doMiSM5TwaC
 
Dah.

Nyerere alikuwa mbali sana wenye hili. Shukurani kwa kuweka hii audio hapa.

Nilisoma kitabu cha Profesa Thomas Molony wa University of Edinburgh "Nyerere: The Early Years" kilichojikita na kuangazia miaka 30 ya mwanzo ya maisha ya Nyerere.

Actually kabla ya kuandika kitabu nilipata kuzungumza naye, alikuwa anataka kujua maisha na mahusiano ya wafanyakazi wa Ikulu ya Nyerere na Nyerere mwenyewe, akataka kujua zaidi kuhusu mama yangu na wakati wake akifanya kazi Ikulu ya Nyerere.

Profesa Molony kwa sababu alikuwa anafundisha Edinburgh, aliposoma Nyerere, alifanya utafiti mkubwa sana uliotumia documents za Edinburgh, mpaka insha alizoandika Nyerere akiwa chuoni. Profesa Molony anasema Nyerere aliandika sana kuhusu hili suala tangu alivyokuwa Makerere, akipenda sana kutoa mifano kwenye jamii za kiafrika kama kwao, na kuelezea sana falsafa za John Stuart Mill.

Hii tarehe ya siku ya wanawake mwaka 1975 kwa kweli hapo alikuwa anafundisha kama Mwalimu, earning his title, maana habari hizi kwa Watanzania wengi zilikuwa jambo jipya, na kwa wengine mpaka sasa ni jambo jipya.

Halafu kama mwanafalsafa mzuri, ameepuka logical fallacy ya "argument from authority", amekataa kukubali kitu kwa sababu kipo katika misahafu tu ( jambo ambalo huwa nalisema sana hapa) na kwa upande mwingine amekataa hata kuwataja wanafalsafa kama John Stuart Mill.

He just argued from principles.

Shukurani kwa hii audio.
 
Nyerere had a ton of common sense.

Sasa ukichanganya common sense nzuri aliyonayo mtu, uwezo mkubwa wa kupokea taarifa na kuzichakata, uwezo mzuri wa kuwasilisha taarifa na mawazo yake kwa watu kwa lugha inayoeleweka kirahisi, ndo unapata mtu kama Nyerere.

Ambaye hawezi kumwelewa Nyerere kwenye hiyo hotuba, huyo atakuwa ana tatizo tu la kuelewa.

Mimi kabla hata ya kuujua msimamo wa Nyerere kuhusu mahari, kimsingi akili yangu ilikuwa inawaza hivyo hivyo kama yeye.

Toka nikiwa mdogo kabisa nilikuwa naona kuna kitu hakiko sawa katika suala zima la kutoa mahari, ambayo wakati mwingine ilikuwa inatolewa kama pesa. Huko Usukumani suala la mahari ni kubwa sana.

Sasa hiyo ilikuwa ni common sense yangu tu ya utotoni mimi bila kuhusisha akili yangu na ile ya kuchanganya na za wengine.

Baada ya kukua, kusoma soma, kutembea huku na kule duniani, kubadilishana mawazo na watu, ndo mtu unajikuta unakubaliana sasa na hoja za watu kama akina Nyerere ambazo walizitoa kabla hata mtu hujazaliwa.

Naamini hata yeye Nyerere kabla ya kupata fursa ya kusoma na kusafiri duniani, alikuwa na hayo mawazo ya usawa na baada ya kusafiri na kusoma, ndo akayanoa vizuri hayo mawazi yake.

Hotuba nyingi sana za Nyerere ukizisikiliza, hotupata vitu vingi ambavyo hutokubaliana naye.

Hiyo haimaanishi kwamba alikuwa sahihi kwenye mambo yote.

Ila kwa ujumla, ukimfuatilia vizuri utaona kwamba alikuwa ni mtu anayefikiria kimantiki sana.
 
Back
Top Bottom