Wale ambao wana stress ya umri kwenda huku hawana chochote, tukutane hapa

Dah! Sijui kwanini nimesoma huu Uzi, naweza sema mshukuru Mungu hata hapo ulipo, miaka ipo na inasonga tu, Kuna watu wako 50 hata umonita wa darasa hawajawah pata na raman Bado hazisomi na maisha yanasonga
 
Umri wako?? Tukuombee Nini?,,,,,Trako?,kazi?,mume?mtoto?

Siyo tunakuombea kumbe hats 20yrs bado haujafika

Mie nina 35yrs hapa nikifikia 45+ndiyo nikimiliki kitanda na godoro vyatosha yaani maisha nitakuwa nishayapatia.
[emoji23][emoji23]mwee!mma po papo itolo
 
Kukata tamaa nidhambi mkuu tuendelee kupambana , one day yes ,mungu ni wetu sote
 
MIAKA 33 una mtoto anaingia sekondari? mtoto wa form 1 ana 12-14 years tuseme wako ana 13 maana ake ulimpata ukiwa na 23, Ulimaliza chuo na miaka 24, kama hii sio kamba bas hongera maana ulianza mbio za vijiti mapema
 
MIAKA 33 una mtoto anaingia sekondari? mtoto wa form 1 ana 12-14 years tuseme wako ana 13 maana ake ulimpata ukiwa na 23, Ulimaliza chuo na miaka 24, kama hii sio kamba bas hongera maana ulianza mbio za vijiti mapema
Kuna sehemu nimeandika kwamba nina mtoto?
 
Nimekuja humu nikadhani Kuna ahueni! Nina 40 kamili nyumb IPO, familia safi... Nimekwama kuanzisha business! Nina salary@month ya kula na familia!!! Kibaya ni kununua gari imebuma! Mbaya zaidi madem hawanion tena!!! Yan nimebakki Kula mabaa maiden na bia kwasana!!

Challenge kuu kwang ni namna ya kupunguza ulabu !!!! Yan bia ongeza BIA lete bia!! Weka hapa!! Kula Monde hii addict sijui nitaitoaje!
 
Dont give up,,, mimi mwnyw nilipokua kwny umri wa miaka ya 21-26 nlipambana sana, biashara zinafeli, michongo inafeli,,, everything goes wrong,, nlipofika miaka 27 ebhaaaana eeeh ilikua kama gari ndo imewaka yaan kila ntachogusa imooooo!!! . Leo hii nina miaka 40 kasoro but mali nazomiliki watu hudhani nimerithi kumbe nilianza from scratch.

Kikubwa; USIKATE TAMAA...... USE WHAT U HAVE, DO WHAT U CAN, ILI MRADI UFIKE UNAPOTAKA.
 

Attachments

  • FB_IMG_1671733138363.jpg
    42.1 KB · Views: 10
Life begins at 40, brother keep on working hard, always unplanned tend to happen,be strong and courageous you will make it and be happy again [emoji137][emoji137]
Maisha yana Siri nyingi Sana,mzee Mbowe yule wa mbezi Beach high school,one told me that he gained a motion economically at 55,[emoji137][emoji137] endeleeni kupiga kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…