Wale Askari polisi na Wanajeshi waliokuwa wamesiama pembeni wakiwaangalia wananchi wakivuta ndege kwa kamba ni Watanzania?

Wale Askari polisi na Wanajeshi waliokuwa wamesiama pembeni wakiwaangalia wananchi wakivuta ndege kwa kamba ni Watanzania?

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.

Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.

Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
 
Hao JWTZ ni vilaza watupu,

Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar.

Taarifa zilifika mapema, kilometa 15 Kuna kambi ya field force, hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto. Kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta? Utakuta magsri ni mabovu, au hayana mafuta.
 
25AB2DC7-EDBC-426C-89E9-53D4BFE6AE77.jpeg
 
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana. Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na JWTZ wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio. swali langu ni moja tu.

Je, wale ni Watanzania?
Nihivi atuvuti na lambilambi tutakusanya Kwan vp
 
Back
Top Bottom