imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Hapana, pengine walikuwa wanaangalia kama kuna mwenzao kwenye ndege ili wamuokoe.Aibu tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, pengine walikuwa wanaangalia kama kuna mwenzao kwenye ndege ili wamuokoe.Aibu tupu
Duuuh...Hapa umetukosea heshima wa-TZ.Hao JWTZ ni vilaza watupu,
Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu,Ndege imeanguka,hapo ilipoanguka,nyamkazi,ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar,taarifa zilifika mapema,kilometa 15 Kuna kambi ya field force,hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto,kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta?utakuta magsri ni mabovu,au hayana mafuta,
Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
Macho yao yalipenya kuona ndani ya ndege?Hapana, pengine walikuwa wanaangalia kama kuna mwenzao kwenye ndege ili wamuokoe.
Labda walisikia fununu kuwa kuna mwenzao, waliposikia Capten fulani yumo kwenye cockpit,wasijue ndio rubani.Macho yao yalipenya kuona ndani ya ndege?
Waache ubinafsiLabda walisikia fununu kuwa kuna mwenzao, waliposikia Capten fulani yumo kwenye cockpit.
Nakazia.Waache ubinafsi
Huu uhuru wa kuongea umezidi kiwango.Hao JWTZ ni vilaza watupu,
Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu,Ndege imeanguka,hapo ilipoanguka,nyamkazi,ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar,taarifa zilifika mapema,kilometa 15 Kuna kambi ya field force,hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto,kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta?utakuta magsri ni mabovu,au hayana mafuta,
Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
Lakini tukirudi nacho bila kuogopa sare zao, wameonyesha udhaifuHuu uhuru wa kuongea umezidi kiwango.
Tukosoe kwa staha.Hao JWTZ ni vilaza watupu,
Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu,Ndege imeanguka,hapo ilipoanguka,nyamkazi,ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar,taarifa zilifika mapema,kilometa 15 Kuna kambi ya field force,hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto,kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta?utakuta magsri ni mabovu,au hayana mafuta,
Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
🙄😳 Duuuih, hii Kali ya mwaka 😂Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
Labda waliogopa pia kupata fungus kwasababu ya maji...😇Walikuwa wanaogopa kukanyaga maji ya baridi.
Mkuu Mcqueenen , hi sii sawa!.Pascal Mayalla johnthebaptist hii ni sawa?
Mkuu JUAN MANUEL , heshima kitu cha bure!, futa hii last line kwenye post hii!. Kumbe wengine tukimuangalia kiongozi wetu avyotembea kwa heshima, kumbe wengine wetu mnaangalia vitu vingine!. This is not fair!, is not right!.Mama yupo anazunguka tu akitikisa .... Kwa wachina
Inasikitisha kwa kweli.Mkuu JUAN MANUEL , heshima kitu cha bure!, futa hii last line kwenye post hii!. Kumbe wengine tukimuangalia kiongozi wetu avyotembea kwa heshima, kumbe wengine wetu mnaangalia vitu vingine!. This is not fair!, is not right!.
Tusiitumie vibaya hii freedom of expression tunayo enjoy humu!.
P
Mbona ni kawaida mkuu?Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.
Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na JWTZ wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.
Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Kuna uzi flani kuna mtu alitabiri kutatokea ajali ya ndegeMsiba mzito huu, watu 19 wamepoteza maisha RIP.😢
Ha ha ha ha ila we jamaa unajiamni nn kuandika matusi kwa mkuu wa nchiHao JWTZ ni vilaza watupu,
Hii nchi imeoza kuanzia Ikulu, Ndege imeanguka, hapo ilipoanguka,nyamkazi, ni makazi ya watu wazito,ni kama ununio Kule Dar.
Taarifa zilifika mapema, kilometa 15 Kuna kambi ya field force, hapo uwanjani Kuna magari ya zimamoto. Kwanini gari hazikufungwa zisaidie kuvuta? Utakuta magsri ni mabovu, au hayana mafuta.
Mama yupo anazunguka tu akitikisa makalio Kwa wachina
Kauli nyingine unaweza tu kuichukulia +ve badala ya -ve. Kwangu mimi naona hiyo ni compliment na wala sio insult. Kama kajaaliwa je???Mkuu JUAN MANUEL , heshima kitu cha bure!, futa hii last line kwenye post hii!. Kumbe wengine tukimuangalia kiongozi wetu avyotembea kwa heshima, kumbe wengine wetu mnaangalia vitu vingine!. This is not fair!, is not right!.
Tusiitumie vibaya hii freedom of expression tunayo enjoy humu!.
P