CCM wamempongeza kwa kazi nzuri za kutaliii huko chinaKwani samia anasemaje?
Amewaambia hilo waliangalie!!Kwani samia anasemaje?
Nihivi atuvuti na lambilambi tutakusanya Kwan vpNimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana. Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na JWTZ wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio. swali langu ni moja tu.
Je, wale ni Watanzania?