Wale Askari polisi na Wanajeshi waliokuwa wamesiama pembeni wakiwaangalia wananchi wakivuta ndege kwa kamba ni Watanzania?

Duuuh...Hapa umetukosea heshima wa-TZ.

Mama ni Rais wetu wa nchi, hata kama amekukwaza lakini uhuru ulionao usivuke mipaka kutukosea heshima kiasi hicho Chifu.
 
Huu uhuru wa kuongea umezidi kiwango.
 
Tukosoe kwa staha.
 
Inasikitisha kwa kweli.
 
Mbona ni kawaida mkuu?
Sio mara moja kwenye uokozi baharini hawa wavaa magwanda huwa wanawaachia wananchi
 
Ha ha ha ha ila we jamaa unajiamni nn kuandika matusi kwa mkuu wa nchi
 
Kauli nyingine unaweza tu kuichukulia +ve badala ya -ve. Kwangu mimi naona hiyo ni compliment na wala sio insult. Kama kajaaliwa je???
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜„ Ila nchi hii ina watuuuu!πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…