Uzuri bado ana option ya ku edit! Aisee, kuna watu wana hatari sanaMkuu Mcqueenen , hi sii sawa!.
Mkuu JUAN MANUEL , heshima kitu cha bure!, futa hii last line kwenye post hii!. Kumbe wengine tukimuangalia kiongozi wetu avyotembea kwa heshima, kumbe wengine wetu mnaangalia vitu vingine!. This is not fair!, is not right!.
Tusiitumie vibaya hii freedom of expression tunayo enjoy humu!.
P
Huyu mwamba sijui bandle imeisha maana bado ana option ya kuedit ila katulia tuAisei! Kabisa unaona huu ni uhuru wa maoni?
Aiseiii! Huo ni uhuru wa maoni? Umeandika kwa kusudia au kichwa kilikumbwa na 'mabadiliko ya tabianchi?' Ukiweza futa utakuwa na busara mno.[emoji120][emoji120][emoji120]
Wale makondoo ambao huwa tunaonyeshwa kwenye sherehe za kitaifa wakiokoa watu waliotekwa mbana hawakwenda kuokoa watu kwenye ndege? Wale wanaopasuliana matofali vichwani hawakutokea?Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana...
Anasema mumkome,sio yeye aliyeleta mvua iliyosababisha hiyo ndege kuanguka.Kwani samia anasemaje?
Na ccm wataandaa sherehe ya kumpongezaPamoja na kazi hiyo ya wananchi wanyonge na kandamizwa... Lakini SIFA NA PONGEZI ZITAENDA KWA MAMA. Subirini mtaona.
Sikutegemea siasa itaingia kwenye jambo hiliWananchi Ni wazalendo ambao wapo pamoja na serikali yao na wanaiunga mkono ndio maana unaona wakishirikiana na serikali yao
Pamoja na juhudi za Capt Luhaga kupeleka ndege ziwani mita chache kutoka Airport akiamini hapo ndipo watapata msaada kwa linalokwenda kutokea lakini imekuwa kinyume sana kwa uzembe wa mamlaka zinazohusika. Kama nchi tujitafakari sana. RIP Linda
unaulizia ujingaWanaume wa Dar kweli tungeweza kuvuta? Nauliza.
Usichukulie kila kitu serious bwana mdogo.unaulizia ujinga
Hao askari na wanajeshi walikuwa wanasubiri amri wawatawanye hao faia...Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.
Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.
Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
hahaha wala sijachukulia serious mkuu nimechukulia ujinga tuUsichukulie kila kitu serious bwana mdogo.
nshomile banaUsichukulie kila kitu serious bwana mdogo.
Ndio, tena hata kuokoa majeruhiWanaume wa Dar kweli tungeweza kuvuta? Nauliza.
Una ushahidi!?Kamanda wa polisi kagika taarifa yake ya awali aliwataka wananchi waondoke hapo...
Ngoja nikusaidie picha kama bado haijaletwaNimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.
Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.
Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
KUvuta shisha labdaWanaume wa Dar kweli tungeweza kuvuta? Nauliza.
Kuvaa tu magwanda haina maana watafanya lolote muda wowote. Dege sio kitu kidogo na si kwamba kila askari ni mwigeleaji au ni mtaalamu wa uokoaji. Kumbuka wale raia wengi ni wavuvi na majini ni kwao.Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.
Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.
Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Wanaangalia nini vijana si wavuta bangi hao hao ndio wapiga nyeto kwa picha ya Beyoncé akiwa DCMkuu Mcqueenen , hi sii sawa!.