Wale Askari polisi na Wanajeshi waliokuwa wamesiama pembeni wakiwaangalia wananchi wakivuta ndege kwa kamba ni Watanzania?

Wale Askari polisi na Wanajeshi waliokuwa wamesiama pembeni wakiwaangalia wananchi wakivuta ndege kwa kamba ni Watanzania?

Mkuu Mcqueenen , hi sii sawa!.

Mkuu JUAN MANUEL , heshima kitu cha bure!, futa hii last line kwenye post hii!. Kumbe wengine tukimuangalia kiongozi wetu avyotembea kwa heshima, kumbe wengine wetu mnaangalia vitu vingine!. This is not fair!, is not right!.
Tusiitumie vibaya hii freedom of expression tunayo enjoy humu!.
P
Uzuri bado ana option ya ku edit! Aisee, kuna watu wana hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisei! Kabisa unaona huu ni uhuru wa maoni?
Aiseiii! Huo ni uhuru wa maoni? Umeandika kwa kusudia au kichwa kilikumbwa na 'mabadiliko ya tabianchi?' Ukiweza futa utakuwa na busara mno.[emoji120][emoji120][emoji120]
Huyu mwamba sijui bandle imeisha maana bado ana option ya kuedit ila katulia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo mengine mbona yanaeleweka? Polisi hana mafunzo ya kuwa mtaalam wa kuogelea,Askari wa ardhini wa JWTZ hana ujuzi wa kuogelea alio nao mvuvi wa kawaida.
 
Pamoja na juhudi za Capt Luhaga kupeleka ndege ziwani mita chache kutoka Airport akiamini hapo ndipo watapata msaada kwa linalokwenda kutokea lakini imekuwa kinyume sana kwa uzembe wa mamlaka zinazohusika. Kama nchi tujitafakari sana. RIP Linda

Ccm ndio inaharibu hii nchi
 
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.

Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.

Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Hao askari na wanajeshi walikuwa wanasubiri amri wawatawanye hao faia...

Kamanda wa polisi kagika taarifa yake ya awali aliwataka wananchi waondoke hapo...

Kulikuwa na issue nakwambia.

Nahisi wananchi tunatumika kwenye kafara za damu kwa viongozi
 
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.

Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.

Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Ngoja nikusaidie picha kama bado haijaletwa
FB_IMG_16677565194622902.jpg
 
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.

Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.

Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Kuvaa tu magwanda haina maana watafanya lolote muda wowote. Dege sio kitu kidogo na si kwamba kila askari ni mwigeleaji au ni mtaalamu wa uokoaji. Kumbuka wale raia wengi ni wavuvi na majini ni kwao.
Askari wetu ni watu werevu tu hasa JWTZ.
 
Mkuu Mcqueenen , hi sii sawa!.

Mkuu JUAN MANUEL , heshima kitu cha bure!, futa hii last line kwenye post hii!. Kumbe wengine tukimuangalia kiongozi wetu avyotembea kwa heshima, kumbe wengine wetu mnaangalia vitu vingine!. This is not fair!, is not right!.
Tusiitumie vibaya hii freedom of expression tunayo enjoy humu!.
P
Wanaangalia nini vijana si wavuta bangi hao hao ndio wapiga nyeto kwa picha ya Beyoncé akiwa DC
 
Back
Top Bottom