Wale Graduate mlioweza kujiajiri mlitumia mbinu (njia) kuweza kujiajiri?

Mjomba unapitia Njia ,ninazopitia Mimi .Naomba tupeane ushauri DM plz
 

Mtaji ni changamoto
Utapitia kipindi cha madeni mpaka utakimbia mji ila baada ya muda mambo yakikaa sawa utaenjoy
Kikubwa chora ramani yako vizuri kisha komaa nayo mpaka kieleweke
 

Mtaji ni changamoto
Utapitia kipindi cha madeni mpaka utakimbia mji ila baada ya muda mambo yakikaa sawa utaenjoy
Kikubwa chora ramani yako vizuri kisha komaa nayo mpaka kieleweke
 
Welll doneee[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Nikuulize swali dogo tu msotaji, baada ya msoto wa myda mrefu na elimu yako mtaani je unaweza kwenda kuuza mifuko sokoni?
 
mkiwa vyuoni mnabetua sana watu kwa kujiona nyie ndo nyie ndo maana mnaona aibu kujimix.
Kweli kabisa. Huwezi kujiajiri ghafla tu. Nakumbuka mtaji wangu ulianzia Kariakoo. Likizo nilikuwa siendi nyumbani, naingia kariakoo enzi hizo wakipanga viatu vya plastiki na raba za kichina za konfu barazani. Nikawa nafanya udalali hasa kwa wazungu na wachina. Wenye viatu hawajui umombo, kariakoo nzima wakipata wazungu waniniita mimi. Hivyo nikajichanganya nao hadi week end nikawa nashinda kariakoo.Wakaniita msomi. Tulipofukuzwa chuo sababu ya mgomo mimi ndio ikawa fursa. Unaweza ku imagine baada ya kugraduate nilikuwa na pesa kiasi gani.Usidhani nilifeli, kwanza sikuwahi kupata hata sup. Japo nilikuja kuajiriwa lakini nikawa nafanya biashara pia kwa ule mtaji nilioupata kariakoo.

Biashara ilikuwa kubwa nikaacha kazi bila woga. Sasa hivi ndio hao na bahasha zao nawaajiri japo ni mapasua kichwa. Hawakuwa na kazi, nimewapa kazi halafu wananiibia eti wasukume Range kama mimi. Nyambaf. LEO MTAWEZA KUJISHUSHA HIVI ENYI WA MILEGEZO?
 
Mimi nilianza na mtaji nguvu zangu, nilikwenda Kigoma, nikafyatua tofali za kuchoma, nikauza kwa shule moja ilikyokua ikijengwa nikapata pesa, nikaamua kurudi town, nikatafta frame maeneo ya chuo kikuu nifungua stationery ambayo nimeitumikia kwa muda wa miaka mitatu ndipo nikapata ajira. Changamoto kubwa niliyoipata ilikuwa ni kufanya maamuzi ya kuanza.
 
Mtaji ni changamoto
Utapitia kipindi cha madeni mpaka utakimbia mji ila baada ya muda mambo yakikaa sawa utaenjoy
Kikubwa chora ramani yako vizuri kisha komaa nayo mpaka kieleweke
Mtaji siyo sababu. Capital ni universal problem ukiweza kutatua tatizo la mtaji then wewe ndiyo mjasiliamali.
 
Mkuu,

Nami nataka kufanya hiyo biashara Chuo Kikuu,
Taratibu za upatikanaji wa fremu zipoje huko?
 
well done
 
Unafyatuaje tu tofari bila kuwa napesa, inamaana ukiwa na nguvu tu una hata shingi 10 unaweza fyatua tofari.
 
Ebu jazia maelezo kidogo mkuu, nami niweze kuanza
 
Umeeleza uhalisia asante kwa mchango mzuri
 
Graduates nendeni mkajiajiri kwenye kilimo, acheni ubwege.

Mtaji wako mkubwa ni nguvu zako na elimu yako. Mashamba yapo ya bure kabisa ktk mikoa ya Katavi, Tanga, na Tabora. Yaani sijui mnataka nn tena?


Sijui km uko serious..labda wakalimie kenya..kilimo cha Tanzania kina changamoto nyingi sana pia inataka mtaji mnene...mnasemaga tu mapori yamejzana manyara atalimia nn??kuandaa shamba lazima uwe na walu 1m..labda ukute shamba halin visiki...kulimisha tu ni 50000\...hizo hela za vibarua wanapata wpi??
Mbegu je bora wanasidiwa na nan.....hap mie nasemea kilimo biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…