Wale Graduate mlioweza kujiajiri mlitumia mbinu (njia) kuweza kujiajiri?

Nilianza namtaji wa 4000 waraka
1) waraka 1000
2)mshumaa 300
3)karanga
4) chumvi 300

Huo ndomtaji nilioanzanao changamoto nimda sababu badonipo chuo ila likizo nauza hadi 5kg kwajumla nasitembeisana ninatafta masoko

Nabaadhi yamasoko naninataka niongeze mengine nitoe 7kg tukifungua chuo bidhaa ninzuri ninapatikana arusha napia kwamlio fanikiwa naombeni mniungishe iliniweze kupata mtajipindi ntakapomaliza chuo

Upande wafaida nikubwa nanimepanga nje sababu hostel siwez pika nanimepiga hatua sababu kodi najilipia matumizi ila kunawakati nakwama hasakipindi chamitihan
My whatsap namba 0692422869 karibuni tupeane support karanga ninzuri nazakiwango chajuu
 
Chamsingi niusiogope kuzaraulika kwaupandewangu napendasana wanao nidharau nikiwa nafanya kazizangu zakujingizia kipato sababu ndowananipa morali yakukazana na hasira yakuja kuwaajiri wote
 
vijana wanasumbuliwa na ulimbukeni,yani kijana yupo tayari ashinde bar akisubiri mtu anayemjua aje amnunulie bia,siku imepita.
mimi nili graduate 2011,nikawa machinga wa vyombo mkoani mwanza yaani nachukua chupa za chai 2 tu za chuma,coated with silver kwa nje @tsh 40,000/=afu nikawa nawauzia akina mama wa matajiri hapo jijini kwa unit moja elfu 80,000/=.saa 7 tu nimesharudi geto.
ulimbukeni na ushamba unakuja pale nilipokutana na graduate mmoja ambaye tulisoma wote advance,akaniuliza ina maana siku hizi unafanya hii kazi?nikamjibu ndio ndo inayo niweka mjini na niko huru.akanicheka akaenda zake.
Lakini Mungu si athumani..nashukuru nilipo.
kwa kifupi taifa kama taifa lina kazi ngumu kila kijana anahitaji akae ofisini hata fundi uchundo anataka akae ofisini.
 
Umetisha mwanangu.
 
Graduates nendeni mkajiajiri kwenye kilimo, acheni ubwege.

Mtaji wako mkubwa ni nguvu zako na elimu yako. Mashamba yapo ya bure kabisa ktk mikoa ya Katavi, Tanga, na Tabora. Yaani sijui mnataka nn tena?

Umeandika utadhani umekatwa kichwa..

Kuna watu mkibahatika kupata fursa fulani mnadhani kila mtu anaweza kuipata pia. Hivi mfano mtu anayeishi Rorya Mara utamwambia aende kutafuta mashamba Katavi? Wakati huo mtu anatamani apate hata elfu 50 tu aanze kuuza karanga.

Ipo siku...
 
Pesa ya mbegu
Pesa ya nauri na mizungoko yote
Pesa ya jembe
Pesa ya kusafirisha mazao
Pesa ya kula
Pesa ya madawa
Pesa ya malazi
Pesa ya
Pesa ya

Hacheni story zenu nyinyi mlivyopewa pesa na wazazi wenu munaongea tu.
Pesa ya smartphone unayo ila ya hivyo vitu huna?
 
Mkuu Mimi ni mhitimu wa 2018, mpka hapa nilipo leo nilisota sana nilianza na biashara ya mchele lakini baadae nikabadili gia.

Kwasasa ninajishugulisha na biashara ya samaki kutoka mwanza( Sangara na sato), kiukweli ni biashara nzuri sana!!

Unafanyaje? Natumiwa samaki Mwanza - Moshi wakifka nna ofisi nauza wabichi jumla na rejareja, lakini kuna department nyingne nimeweka mdada huwa anakaanga Sangara vipande kuanzia 1500, 2000,na 2500.

Kwa siku nakaanga kilo 10- 15, wakati wabichi inategemea na siku hiyo wateja wangapi wana hamu ya kula samaki lakini sio chini ya kilo 10.

Na oda za supermarket pia huwa nawauzia, na watu wahotelini pia.


Nilianza na kilo 50 za sangara na sato 50kg, now nna uwezo wa kuagiza 200kg. Karbu kwa maswali
 
Mkuu naomba kujua ulihitimu course gan kama hutojali
 
Faida yake ipoje?
Changamoto je?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faida ipo ndo maana naendelea kufanya.
Kuhusu changamoto zipo, kutumiwa size kubwa( samaki wa kilo 9) wakati soko langu linahtaji samaki size ya Kati ( 1.5kg - 2.5kg). Samaki akiwa mkubwa Sana ni hasara, sababu baada ya kukata kichwa chache kitakuwa na uzito mkubwa ( labda upate mteja wa kununua mzima)

Pili kuna baadhi ya siku unaweza kupokea samaki wawili au watatu wameharibika lakini hapa hutegemea sana na mtu anayekutumia mzigo, kwangu mm hutokea mara chache sana kwa mwezi ata Mara 1, au isitokee kabsa!! Kijana wangu mi mwaminifu mno.

Kubadilika badilika kwa bei, kila week samaki hubadilika bei, inaweza Kupanda au kushuka, ila ikishuka utaenjoy Sana, mfano ikashuka mpka 3400 wakati ww huku unauza 6000 au 6500 na wateja hawajui kama imeshuka!!.

Tatu, hakuna kipimo cha usahihi kwamba hapa ni kilo 1 au nusu Bali nnakata kwa uzoefu tu, uzoefu ndo umenifundisha kuwa nikikata hapa ni kilo 1 au hapa ni nusu kilo, ila ukikosea kukata ni changamoto kumshawishi mteja aongeze pesa kisa eti umekosea kukata.

Ila mpka saiv nna uwezo mzuri kabsa wa kukadilia kuwa hapa ni nusu au hapa ni kilo, mpka wateja huwa wanashangaa sana!!

Umeme, ila kwangu sijawahi kupata hili tatzo mpka nikakosa raha eti umeme umekatika, ukikatika baada ya mda unarudi, Ila kama upo vzr unaweza kununua generator.

Ntakuja kuendelea
Faida yake ipoje?
Changamoto je?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Graduates wengi wana mawazo makubwa ya biashara,mtaji ndio changamoto kubwa,hongereni mlioweza kujichanga na kuanza kwa kidogo.
 


Hongera mkuu...Ina maana huna ule mzani au sijaelewa
 
Graduates nendeni mkajiajiri kwenye kilimo, acheni ubwege.

Mtaji wako mkubwa ni nguvu zako na elimu yako. Mashamba yapo ya bure kabisa ktk mikoa ya Katavi, Tanga, na Tabora. Yaani sijui mnataka nn tena?
Ww umejiari au unaongea unafanya masihara na kulima ww???
 
Hongera na akhsante kwa maelezo mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu namba yako pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…