GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Cha Kimasikini Bure elfu 56 miezi miwili Bure masikini wote wanakimbilia huko walichobakiza Azam ni kitu kimoja tu ili wawakamate masikini wote wafike kwenye kipengele cha kulipa kidogo kidogo yaan unachukua kingambuzi bure kila mwezi unalipia 10,000 kwisha habariCha AZAM vipi?
Azam kisimbusi cha kimasikini afu hapo ulipo hata hujui kinafanya vp kazi hadi uone hizo mechi zenuCha Kimasikini Bure elfu 56 miezi miwili Bure masikini wote wanakimbilia huko walichobakiza Azam ni kitu kimoja tu ili wawakamate masikini wote wafike kwenye kipengele cha kulipa kidogo kidogo yaan unachukua kingambuzi bure kila mwezi unalipia 10,000 kwisha habari
Sijasema Mimi soma bango kule juu linasemaje?Azam kisimbusi cha kimasikini afu hapo ulipo hata hujui kinafanya vp kazi hadi uone hizo mechi zenu
Wabongo bhana π
Naona ulitaka kuniingiza Chaka Pimbi Wewe.....!!! ni Channel 225.Kwan kuna ugumu gn kutafuta channel inayoonyesha hy mechi? Au channel Zipo milion hvy utachoka?
Shemeji siyo dhambi kuwa na kisimbusi cha Azam π ππ π π naona unakitetea sana. Huwa unaangalia tamthilia? πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈMna mdharau azam tv ila kaa mkijua h mechi ya leo na mechi zote za CAF zinazofanyika hapa Tanzania production yake inafanywa na Azam Tv, kwahy azam msimchukulie poa mana n best broadcaster kwenye list ya CAF.
Oya huu muda wa 15:55 wa Kwetu Bongo (East Africa) au ni Kwao kwa South Africa kwa Madiba Mandela?
Kwa sababu nilishawahi kufanya kazi azam tv (kama unakumbuka niliwahi kukuambia ishu yangu ya kazini) so nawashangaa sana watu wanaoidharau azam n Bc tuu hawaifahamu hy azamShemeji siyo dhambi kuwa na kisimbusi cha Azam π ππ π π naona unakitetea sana. Huwa unaangalia tamthilia? πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Oya huu muda wa 15:55 wa Kwetu Bongo (East Africa) au ni Kwao kwa South Africa kwa Madiba Mandela?
Naona ulilambwa ban ya dkk chache πOya huu muda wa 15:55 wa Kwetu Bongo (East Africa) au ni Kwao kwa South Africa kwa Madiba Mandela?