Wale Matajiri wenye Kisimbuzi cha Kitajiri cha Dstv hizi Mechi za CAFCL ilipo Yanga na ile ya CAFCC iliyopo Simba tunazitizama katika Channels gani?

Wale Matajiri wenye Kisimbuzi cha Kitajiri cha Dstv hizi Mechi za CAFCL ilipo Yanga na ile ya CAFCC iliyopo Simba tunazitizama katika Channels gani?

Cha Kimasikini Bure elfu 56 miezi miwili Bure masikini wote wanakimbilia huko walichobakiza Azam ni kitu kimoja tu ili wawakamate masikini wote wafike kwenye kipengele cha kulipa kidogo kidogo yaan unachukua kingambuzi bure kila mwezi unalipia 10,000 kwisha habari
Azam kisimbusi cha kimasikini afu hapo ulipo hata hujui kinafanya vp kazi hadi uone hizo mechi zenu
Wabongo bhana 😂
 
Braza hacha kuongelea ligi ya kimasikini maana hiyo ligi hiko chini ya ufadhili wa serikali yaani serikali imetoa pesa ya zawadi kubwa kuliko zawadi kuu ya mashindano .....tena bado unabaki kuiangalia tena utakuwa hauko seriously
 
Mbaga Jr na Kentaro mnanichanganya / mnatuchanganya kwani mmoja anasema ni Channel 225 na mwingine 227.

225 haiwezi onesha mpira wa Afrika mkuu...

SS Africa ni ch 227

Screenshot_20241126_095355_DStv Stream.jpg
 
Mna mdharau azam tv ila kaa mkijua h mechi ya leo na mechi zote za CAF zinazofanyika hapa Tanzania production yake inafanywa na Azam Tv, kwahy azam msimchukulie poa mana n best broadcaster kwenye list ya CAF.
Shemeji siyo dhambi kuwa na kisimbusi cha Azam 😅😂😅😅😅 naona unakitetea sana. Huwa unaangalia tamthilia? 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Shemeji siyo dhambi kuwa na kisimbusi cha Azam 😅😂😅😅😅 naona unakitetea sana. Huwa unaangalia tamthilia? 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Kwa sababu nilishawahi kufanya kazi azam tv (kama unakumbuka niliwahi kukuambia ishu yangu ya kazini) so nawashangaa sana watu wanaoidharau azam n Bc tuu hawaifahamu hy azam
 
Back
Top Bottom