Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Sawa si tunashukuru🤣🤣👐👐 Visimbuzi vya kichinaTafadhali kama unajijua unamiliki Visimbuzi vya Kimasikini cha Njia Panda Bamaga usithubutu kuja hapa Kuchangia.
Mna mdharau azam tv ila kaa mkijua h mechi ya leo na mechi zote za CAF zinazofanyika hapa Tanzania production yake inafanywa na Azam Tv, kwahy azam msimchukulie poa mana n best broadcaster kwenye list ya CAF.
Tabata TOTKwani Azam skuizi iko njia panda ya Bamaga?
NdioTabata TOT
Muulize mtoa mada alikuwa ana maanisha ipi kati ya azam au startimes, n mara chache sana startimes kuingizwa kwenye hizi ishu.Ndio
Asa wenzetu Azam nyie si matajiri
Mana tunaosimangwa hapa ni sisi Startimes🤣
Are you sure?Channel 225
Nimeshaona ni 225,popoma anatuchezea akili tu
Kwa nn uangalie kupitia channel ya ajabu na yenye muonekano wa hovyo,ingali hapo hapo dstv unaweza kuona hyo game kupitia channel no 227Mechi za CAF champions LG angalia channel ya E-TV ya Majizzo Kwa DSTV
NoAre you sure?