Wale Matajiri wenye Kisimbuzi cha Kitajiri cha Dstv hizi Mechi za CAFCL ilipo Yanga na ile ya CAFCC iliyopo Simba tunazitizama katika Channels gani?

Wale Matajiri wenye Kisimbuzi cha Kitajiri cha Dstv hizi Mechi za CAFCL ilipo Yanga na ile ya CAFCC iliyopo Simba tunazitizama katika Channels gani?

Kwani Azam skuizi iko njia panda ya Bamaga?
Mna mdharau azam tv ila kaa mkijua h mechi ya leo na mechi zote za CAF zinazofanyika hapa Tanzania production yake inafanywa na Azam Tv, kwahy azam msimchukulie poa mana n best broadcaster kwenye list ya CAF.
 
Kwani remote ya kisimbuzi Cha kitajiri hakina button ya EPG?
Hiyo inaonesha Programme Guide.
Utapata ratiba ya vipindi vyote vya channel zote.
 
Mechi za CAF champions LG angalia channel ya E-TV ya Majizzo Kwa DSTV
Kwa nn uangalie kupitia channel ya ajabu na yenye muonekano wa hovyo,ingali hapo hapo dstv unaweza kuona hyo game kupitia channel no 227
 
Mkuu sio kawaida kwa huu ukimya wako tuna miss taarifa nyingi za ndani ndani kuanzia kwenye michezo mpaka siasani.

Huko Uganda umebadilishwa kitengo nini?
 
Back
Top Bottom