Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

suala gumu hili.ingekua kipato bas jeff bezos asingeachana na mke wake. katoa talaka analia na mke kachkua dola $ bil 33.na hisa 30% na sasa kaenda kwa mwalim wa shule ya msingi.. watumish vilio kila kona eitha mama au baba full safar akikaa nyumban labda siku 2
majukm ya ukurugenz tena huach safar.nyumbq zinateketea mama utamwambia nin na yeye ana dereva na v8 inasubir nje. management vikao kama vyote.baba dar mama dodomaaa.
 
Wengi wako disappointed vibaya mno, maana walivyotegemea sivyo wanavyokutana navyo ndoani humo.

Sasa hivi wamebaki tu kujifariji eti "siku nikifa watoto wangu hawatapata shida kubaki na mama yao"
 
Nadhani mwanaume anatakiwa kuoa mwanamke ambaye kesho na kesho kutwa likitokea lolote kwa mwanaume familia itaendelea ku survive
"Likitokea lolote kwa mwanaume" ..kama lipi labda??
 
Pole sana mkuu.
 
Wote wanatiwa nje tu,hakuna mwenye afadhali....

Ila mtumishi wa umma ana kiburi pro max...hiyo ndio shida
Na kiburi na ndoa haviendani kabisa yani.

Imagine unalala na mtu mwenye kiburi cha hatari.
Ni balaa sana hapo ndani.
 
Mambo yakopoje huko kwenye ndoa? leteni feedback.
Pesa atakayopatani yake,
Pesa utakayopata ni yenu,
Pesa yake ni kwa ajili ya vipodozi, manukato, nguo, mikoba na viatu!
 
Duuh! Kweli kuna wanaume wanategemea kusaidiwa kiuchumi na mwanamke?..🤔🤔
 
Na kiburi na ndoa haviendani kabisa yani.

Imagine unalala na mtu mwenye kiburi cha hatari.
Ni balaa sana hapo ndani.
Mwanaume hawezi vumilia kabisa kiburi

Anaona yupo threatened hivyo anakua mkali kupita maelezo ku counter balance hiyo threat.
 
Duu!
 
Aiseh unabahati sana kusaidiwa na ndugu wa kike! Sijawahi kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…