Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Nikilelewa, wewe unaumia ukiwa wapi mpendwa..??Kwa hiyo unalelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikilelewa, wewe unaumia ukiwa wapi mpendwa..??Kwa hiyo unalelewa
Umeoa muajiriwa ili ulelewe, na hapo hueshimiki ni bora ungeoa mama wa home🏠Nikilelewa, wewe unaumia ukiwa wapi mpendwa..??
"Likitokea lolote kwa mwanaume" ..kama lipi labda??Nadhani mwanaume anatakiwa kuoa mwanamke ambaye kesho na kesho kutwa likitokea lolote kwa mwanaume familia itaendelea ku survive
Pole sana mkuu.Mambo ni magumu kiasi chake maana kipato cha mwanamke ni chake, na kipato cha mwanaume ni cha wote... Lakini pia kuna mazingira ya kikazi ya mwanamke yanaleta hali ya sintofahamu ktk suala la kuaminiana kihisia... Huu utaratibu wa kusema MSAIDIANE nadhani hakuna mashiko sana na hii inapelekea mwanaume kujikuta unatengeneza bomu linalokuja kukulipukia mwenyewe baadae. NAJUTA MIMI
Hongereni mliooa mama wa nyumbani na heshima mnaipata
Udume dume huuMwanaume unakaa kabisa unaipigia hesabu hela ya mwanamke?
Mimi nioe..?? get serious mkuu..!Umeoa muajiriwa ili ulelewe, na hapo hueshimiki ni bora ungeoa mama wa home🏠
Ha ha haHii ni kweli.
Tena unakuta anakuzidi na kipato na bado hawezi kununua Mafuta ya kupikia na anakukazia kabisa.
Wote wanatiwa nje tu,hakuna mwenye afadhali....Maumivu ni yale yale uoe Mtumishi na Usioe Mtumishi hakuna kinacho badilika.
Fafanua mkuuUdume dume huu
Mdau wewe umeshaoa utupe mrejesho kamili?bora kumuoa asiye mwajiriwa
Na kiburi na ndoa haviendani kabisa yani.Wote wanatiwa nje tu,hakuna mwenye afadhali....
Ila mtumishi wa umma ana kiburi pro max...hiyo ndio shida
Pesa atakayopatani yake,Mambo yakopoje huko kwenye ndoa? leteni feedback.
Mwanaume hawezi vumilia kabisa kiburiNa kiburi na ndoa haviendani kabisa yani.
Imagine unalala na mtu mwenye kiburi cha hatari.
Ni balaa sana hapo ndani.
Duu!Ndoa ukweli ni utapeli ndio maana Mimi niliamua kuoa mama wa nyumbani Hana Cha kunifanya
Nyumba kaikuta na kila kitu ndani
Akicheza anabeba begi kwao!!
Niache kula bia halafu nianze sijui baby huo ujinga Sina full ukakisi tu nyumbani nakaa masaa6 Kati ya 24!!!
Sinaga huruma kwa mwanamke Mimi!!!
Aiseh unabahati sana kusaidiwa na ndugu wa kike! Sijawahi kuonaNilichoona Kwenye maisha ya wanaume wengi, kwa asilimia kubwa mwanamke ambae atakupa sapoti ambayo itafanya uinuke kiuchumi ni mama mzazi na ndugu wa kike, hao wanawake wengine wanakuja kwa nia ya kuchuna tu.
Ni mara chache kukuta mwanaume ni tajiri sababu amepewa sapoti na mkewe au mchumba Rabboni Natafuta Ajira