Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Tatizo lako umekariri maisha nyumba unaweza kujenga hata kijijini inategemea malengo yako kuna watu wanaangalia miaka 10 au 20 ijayo na kuendelea wewe akili yako imelala na umekalili kuwa miji mikubwa ndipo unatakiwa kujenga, nikupe pole ila ujue Dodoma kuna uhaba mkubwa wa nyumba na hata serikali haitahama Dodoma, Rais Samia ameshatoa pesa kwa kila wizara ijenge ofisi ya kudumu Dodoma
Jipe moyo Dar ni Dar tu
 
Alokuambia nyumba za Dodoma hazina wapangaji sehemu gani?acha basi hoja za hovyo au lengo mumkashifu tu mtawala aliyepita?
Vitu vingine havipendezi mtu mzima kudanganya...Dodoma hii ht kama Rais wa sasa ameikacha lakini bado mahitaji ya nyumba ni makubwa....

Acha uongo!!
Labda kama kuna Dodoma nyingine unatoilezea,Dodoma hakuna mzunguko wa pesa upangaji wa nyumba ni hafifu sana,siyo ishu ya kukashfu mtawala aliyepita,mambo ni tough.
 
Kipindi Serikali au mtu mmoja aliyeamua katangaza Dodoma kama makao makuu kwa maslai yake, watu wa Mikoani wakakurupuka kutoka huko kwenda kuwekeza Dodoma, sasa mambo yamekuwa magumu wanalalamika [emoji3] biashara zimekuwa ngumu na ni za msimu.

Nyumba walizojenga hazina wapangaji yaani mambo ni tafrani apeche alolo
Watu waliokimbilia huko wanalia wanapauka kwa vumbi na jua, Maji yamejaa chumvi hata kuyanywa ni shida
Ndo mkome kukurupuka kama chafya bila kufikiria.

Hizo nyumba zibebeni mzilete huku kigamboni [emoji4]

Unakimbia Dar unaenda kuwekeza Dodoma sehemu ngumu vile una akili kweli bora ungeenda kuwekeza Arusha, Mwanza, Moshi, Mbeya, Dar
Watu wa mkoani ndio wapi hao,,na wewe huko wapi
 
Back
Top Bottom