Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Dodoma ni shida.Serikali wanaibrand lakini wanachemka.Yaani ni sawa na lile kabila,wenyewe ni kuomba tu kila kukicha.Hawajishughulishi kazi ni kuomba.
Hela zinazojengwa mawizara zingefanya kazi nyengine.Wizara zishakuwepo na sio nje ya nchi bali ni nchini hapahapa.Kuanza kugongomoa miradi ya ujenzi wa mawizara
katika mji mkame na usiojibrand.
Yote kwa yote,Dodoma sio aisee, japo tunapenda tuione tunapoifikiria lakini tumechemka.Wakazi mtuvumilie tu, mji wenu ni changamoto.
 
Nina imani ipo siku 1 kitarudi chuma kingine kama alivyokua John au zaidi ya JOHN ndipo mtakapojua kuwa DODOMA ni keki inayodharaulika.. ipo siku 1 hii thread itakua inapitwa kama haionwi maana itakua aibu kuja kuisoma.
 
Wazo zuri sana sana na lingesaidia sana kukuza mikoa husika Nchi nzima ingeendelea na kupanuka..

hii kurundikana mkoa mmoja ni hasara kwa mikoa mingine jambo ambalo si zuri,nadhani hajapatikana mtu wakushauri hili mwenye ushawishi.
 
Dodoma hii hii ninayoijua??
 
Nkhuhungu
Duuuh inaonekana hampajui dodoma. Nikupe mtihani tu mdogo tafuta picha ya nkukhungu walau hata wiki hii. Anzia four ways halafu njoo ulinganishe hiyo nkukhungu hiyo kimara yako kama bunyonkwa au hata kimara mwisho marufuku kuweka flyover weka mitaa yenye nyumba tu
 
Dodoma hii hii ninayoijua??
Duuh utadhan dar es salaam imejengwa na wandengereko na wazaramo. Kwa habari yako wakazi wengi wa dodoma mjini sio wagogo. Pia ni nadra sana kusikia watu wakiongea kigogo hadharan
 
Lile jua ni balaa linawaka mapema asubuhi kali, ardhi ina magadi ya kutosha, serikali iliyokuwa ya kizalendo haiwezi kuendelea kumwaga mabilioni ya shilingi jangwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jua la Dar na Dodoma lipi kali? Lipi linalowaka mapema asubuhi?

Dar jua linawaka saa Nne asubuhi utafikiri saa nane mchana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miaka 26 iliyopita kulikuwa Hamna Daladala??????
Mlikuwa mnachimbua makorongo kupata maji????

Unataka kusema tulikuwa tunatembea kwa miguu kwenda mjini? Yani kwa Daladala, labda useme zilikuwa hazitoshi na pia kutegemeana na eneo.

Pia Maji useme, yale ya Duwasa (ya mabomba hayakuwa mengi, na pia Nyumba chache zilizokuwa na mabomba kupelekea maji wengine kununua kwenye matoroli yaliyokuwa yanabeba kwa kuuza...Pia hapa kuhusu kuchota makorongoni, usiGeneralize.

Otherwise; Dodoma imekua kwa kasi sana...Inapendeza.
 
Hapajui Mkuhungu(Nkuhungu) huyo...anaongea tu...Tena miongoni mwa mitaa iliyoendelea mapema ni hapo Nkuhungu.
 
Hapajui Mkuhungu(Nkuhungu) huyo...anaongea tu...Tena miongoni mwa mitaa iliyoendelea mapema ni hapo Nkuhungu.
mkuu unafananisha nkuhungu na kimara kweli? ha ha ha ha ha ha we jamaa kuwa serious basi labda ungesema chanika huko
 
Kwani Maendeleo ya tehama Tanzania bado hayajafika ?

Mnapenda kuishi Kama mko miaka ya 1946.
 
mkuu unafananisha nkuhungu na kimara kweli? ha ha ha ha ha ha we jamaa kuwa serious basi labda ungesema chanika huko
Kimara imechangamka,Biashara nyingi...
Mkuhungu imeendelea imetulia, imepoa, ni sehemu nzuri kwa makazi.
 
Idodomya..kama.chief hangaya hataki kuishi huko mimi nani nikae sehemu kame..vumbi mpala linapofusha macho...bora nikae buza kwa mpalange kuliko dodoma.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…