Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Hakuna mtu mwenye akili timamu, ambaye sio mwenyeji, angeenda kujenga/kuwekeza chato simply cause ni nyumbani kwa rais.
umenikumbusha Jiji la Mobutu Sese Seko la Globetore lilivyoyeyuka huko DRC,
 

Emi tuache bwana kututiia hasira
 
Sijaona umetaja orodha ya viwanda vikubwa Dodoma zaidi ya mashine za kukamua alizeti.


Sijaona umetaja mahotel ya nyota Tano.


Sijaona umetaja miradi mikubwa ya kimaendeleo.


Dodoma Ni jangwa
 
Labda kama kuna Dodoma nyingine unatoilezea,Dodoma hakuna mzunguko wa pesa upangaji wa nyumba ni hafifu sana,siyo ishu ya kukashfu mtawala aliyepita,mambo ni tough.
Upangaji wa nyumba zipi ambao ni hafifu?

Unaongelea Dodoma City Council au unaongelea Dodoma ya Mpwapwa?
 
Mkuu ukipata anayeuza nyumba nishirikishe
 
Upangaji wa nyumba zipi ambao ni hafifu?

Unaongelea Dodoma City Council au unaongelea Dodoma ya Mpwapwa?
Jamaa haijui Dodoma huyo,eti 20,nyumba gani hiyo?
 
Kuna
Kuna baadhi ya benki,mfano Exim,umefunga baadhi ya matawi,baada ya kuona hakuna tija.
 
Mkuu Huu Mfereji Unaojengwa Hapa Utapunguza Tu Ila Hauwezi Kutoa Maji Yote
Mvua Iliyonyesha Alhamis Kama Uliiona Basi Utajua Kule Siyo
 
We kubwa Jinga kweli kweli mbona Dar Kuna nyumba za milion 3 kwa mwezi na watu hawaongei.
Mkiamka hamjapewa pesa na shemej zenu mnakuja kuandika ujinga... Lack of exposure ndio tatizo lako kodi ya 3M hata Songea ambako ni mji usio na maisha hizo kodi zipo, wee unadhan ni Dar tu ambayo umezaliwa umekuta Makonda ndie RC... Soma hoja za watu vizur, ukitaka matusi yapo yakutosha KARIBU TENA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…