Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Miaka 10 ijayo Dodoma itakuwa imeshaipita Dar....uwekezaji unaofanyika kule ni Mkubwa. Uwezekaji wa Dar ni watu binafsi tu. Dodoma serikali inawekeza, na watu binafsi wanawekeza.
Sawa subiri serikali Ije kukujengea nyumba
 
Ok
 
Sasa yeye si amezoea Bahari...Amezaliwa kwenye bahari, amekulia huko, akasoma hukohuko kwenye bahari...maisha yake mengi ameishi karibu na bahari....ndio maana anapenda maeneo yalio karibu na bahari...ni haki yake....
Mama hawez kukaa sehem kuna jua kali na vumbi
 
Uwekezaji wa miundo mbinu?wakati hakuna cha bandari,viwanda,utalii,etc?
Sasa viwanda vitakuja bila ya miundo mbinu? Ni lazima kimoja kianze, ili kivutie vitu vingine. Miundo mbinu itavutia vitu vingi. Uwepo wa miundo mbinu; na wafanyakazi wa serikali waliohamia hapo; tayari vitavutia vitu vingine kufanyika.
 
Hahahahah bora umesema kuna majtu majnga
 
Mtoa mada inawezekana hapajui dom, amebeba story za kwenye kahawa, ss tumejenga dom na tunapiga mihela, biashara zinafanyika sanaaaa ndo maana watu wana pesa sana dom ya sasa[emoji1316]
 
Kwa nini unasema uongo wa namna hii? Unazungumzia uwekezaji wa nini? Waliowekeza kwenye chanjo ya corona kama Pfizer mbona wanaona faida sasa hivi hata kama miongoni walikuwepo wenye miaka 100?
Unajua unapo bwabwaja bila facts unaonekana mpumbavu kati ya wajinga. Soma hapa
Mr. Charles Pfizer aliye zaliwa mwaka (1824–1906) sasa hivi yuko wapi na hayo matunda ya hiyo chanjo?

kiwanda chenyewe kilianzishwa kama miaka 172 iliyo pita January 1, 1849; huko New York City.

haya nawe njoo na ukweli wako
 
Kama hivi nakuelewa ddma itachukua mda kua na mzunguko wa biashara unao eleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…