NGOMEKONGWE2021
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 616
- 1,225
One of the best location everUmeona kigambano ndio wanakaa wajanja shida yako wewe ni mshamba sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
One of the best location everUmeona kigambano ndio wanakaa wajanja shida yako wewe ni mshamba sana
Huu uongo unakusaidia nini mkuu..Kipindi Serikali au mtu mmoja aliyeamua katangaza Dodoma kama makao makuu kwa maslai yake, watu wa Mikoani wakakurupuka kutoka huko kwenda kuwekeza Dodoma, sasa mambo yamekuwa magumu wanalalamika [emoji3] biashara zimekuwa ngumu na ni za msimu.
Nyumba walizojenga hazina wapangaji yaani mambo ni tafrani apeche alolo
Watu waliokimbilia huko wanalia wanapauka kwa vumbi na jua, Maji yamejaa chumvi hata kuyanywa ni shida
Ndo mkome kukurupuka kama chafya bila kufikiria.
Hizo nyumba zibebeni mzilete huku kigamboni [emoji4]
Unakimbia Dar unaenda kuwekeza Dodoma sehemu ngumu vile una akili kweli bora ungeenda kuwekeza Arusha, Mwanza, Moshi, Mbeya, Dar
Sawa...lakini nature inakataaMimi nilikuwa Dodoma hivi karibuni, aisee panachipuka kwa kasi ya ajabu.........ni swala la serikali kuweka jitihada zaidi za kuweka miundombinu muhimu kwa ajili ya hadhi ya makao makuu, nilichogundua pia hali yake ya hewa imeboreka sana tofauti na zamani, na majuzi hapa makamu wa rais alikuwa anahimiza uzalishaji wa vitalu vya miti ili taasisi za umma na binafsi, wafanyabiashara na wananchi wapande miti ya kutosha........kwa hiyo ndugu mleta mada unapo underrate Dodoma unakuwa hueleweki hasa lengo lako ni lipi, labda kama una chuki binafsi tu.
Na zinazidi kujengwa kwa kasi sana,Dom will never go back achana na hao wapuuzi.Mbona nyumba dom ghali sana
Kwa nini unasema uongo wa namna hii? Unazungumzia uwekezaji wa nini? Waliowekeza kwenye chanjo ya corona kama Pfizer mbona wanaona faida sasa hivi hata kama miongoni walikuwepo wenye miaka 100?Ukisha vuka miaka 45 uwekezaji wako mzito utakuja kufaidiwa na wanao au wajukuu zao. Mamijengo unayo yaona uk usa ya zamani sasa hivi wajukuu ndio wanayafaidi huku wazee wao waliovuja jasho wakiwa wamesha maliza mwendo.
Kivipi mkuu, hebu dadavua...Sawa...lakini nature inakataa
Ni sawa sawa na kwenda kupeleka mafriji,ma TV, ma computer kujijini kwenu ukategemea pataendelea kiuchumiNa zinazidi kujengwa kwa kasi sana,Dom will never go back achana na hao wapuuzi.
Mkuu hao ni wale wapumbavu ambao kwa akili zao fyatu wanadhani kuna siku eti Capital City itarudi Dar,kamwe haitakaa itokee..Alokuambia nyumba za Dodoma hazina wapangaji sehemu gani?acha basi hoja za hovyo au lengo mumkashifu tu mtawala aliyepita?
Vitu vingine havipendezi mtu mzima kudanganya...Dodoma hii ht kama Rais wa sasa ameikacha lakini bado mahitaji ya nyumba ni makubwa....
Acha uongo!!
Hakuna vichocheo vya kiuchumi...wanalazimishaKivipi mkuu, hebu dadavua...
Mafridge kama haya hapa mkuuNi sawa sawa na kwenda kupeleka mafriji,ma TV, ma computer kujijini kwenu ukategemea pataendelea kiuchumi
Jiji limeshakuwa kubwa na biashara ziko busy Sana.Mimi nilikuwa Dodoma hivi karibuni, aisee panachipuka kwa kasi ya ajabu.........ni swala la serikali kuweka jitihada zaidi za kuweka miundombinu muhimu kwa ajili ya hadhi ya makao makuu, nilichogundua pia hali yake ya hewa imeboreka sana tofauti na zamani, na majuzi hapa makamu wa rais alikuwa anahimiza uzalishaji wa vitalu vya miti ili taasisi za umma na binafsi, wafanyabiashara na wananchi wapande miti ya kutosha........kwa hiyo ndugu mleta mada unapo underrate Dodoma unakuwa hueleweki hasa lengo lako ni lipi, labda kama una chuki binafsi tu.
Wakoloni hawajawahi kuielewa Dodoma, marais wote walijua mji huu ni kimeo, sasa unatembea mjini hakuna hata mzungu wala mchina wa maana ujue ni pakishenzi... hoteli za nyota 2 ipo moja au mbili ... pakishenzi sana kwa kweliMkuu hao ni wale wapumbavu ambao kwa akili zao fyatu wanadhani kuna siku eti Capital City itarudi Dar,kamwe haitakaa itokee..
Nilikuwa Dom wiki hii Jiji limekucha kuanzia kule Mji wa Serikali hadi mitaani mjini Kati kote ujenzi wa majengo na miundombinu mingine umeshika Kasi.
Mambo yanajiset taratibu. Ila kiukweli Dodoma ni Jangwa, mvua hazinyeshagi. Hao wala bata wa serikali walijiadhibu wenyewe kurudi huko.Kipindi Serikali au mtu mmoja aliyeamua katangaza Dodoma kama makao makuu kwa maslai yake, watu wa Mikoani wakakurupuka kutoka huko kwenda kuwekeza Dodoma, sasa mambo yamekuwa magumu wanalalamika [emoji3] biashara zimekuwa ngumu na ni za msimu.
Nyumba walizojenga hazina wapangaji yaani mambo ni tafrani apeche alolo
Watu waliokimbilia huko wanalia wanapauka kwa vumbi na jua, Maji yamejaa chumvi hata kuyanywa ni shida
Ndo mkome kukurupuka kama chafya bila kufikiria.
Hizo nyumba zibebeni mzilete huku kigamboni [emoji4]
Unakimbia Dar unaenda kuwekeza Dodoma sehemu ngumu vile una akili kweli bora ungeenda kuwekeza Arusha, Mwanza, Moshi, Mbeya, Dar
Ni sawa na kujenga uwanja wakimataifa wa ndege kule Chato..sasa mnasubiri Chato ikue kiuchumi.!!!!Jiji limeshakuwa kubwa na biashara ziko busy Sana.
Hii ndio legacy pekee ya Mwendazake nayoikubali. Ukiacha Dar hakuna Jiji lingine liko busy kwa Construction kama Dom.
Watanzania tuache unafki sasa swali gan unaulizaaaa?Bora hata Dom je wale waliojenga Chato?
Vichocheo vya kiuchumi ni vitu vinavyoendana na mahitaji ya watu.....kwa hiyo vinaongezeka kadri jiji linavyozidi kukua. Kuna mzee wa siku nyingi maeneo ya goba alikuwa ananisimulia pale kariakoo kulikuwa na msitu na simba wakikaa humo. Sasa leo ukimwambia mtu kariakoo palikuwa pori atakuelewa?Hakuna vichocheo vya kiuchumi...wanalazimisha
Unaelewa maana ya kujenga Mji Mkuu? Hizo hotel zitakuja kama zote is a matter of time.Wakoloni hawajawahi kuielewa Dodoma,marais wote walijua mji huu ni kimeo , sasa unatembea mjini hakuna hata mzungu wala mchina wa maana ujue ni pakishenzi...hoteli za nyota 2 ipo moja au mbili ...pakishenzi sana kwa kweli