Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Du kule ndio balaa wengi wameishia njiani na kujikuta wamepoteza hela nyingi,maana hata viwanja vilipanda bei mara dufu
[emoji3][emoji3] mim ni msukuma Lakin siwezi kwend kuishi chato
 
Bora hata Dom je wale waliojenga Chato?
Screenshot_20211225-122607_Gallery.jpg
 
Dodoma ni mji mzuri sioni ubaya wake kihivyo. Pia kuhusu nyumba , Dodoma Kuna uhaba mkubwa wa nyumba na gharama za kupanga ni kubwa Sana.
Nyumba ya kawaida tu si chini ya 300k
Na hii haijatokana na serikali kuhamia huko bali ndio maisha ya huko yalivyo kwa muda mrefu.
Dodoma ni mji wa gharama Sana
Pia kuhusu Dar, watu wote hawawezi kuishi dar. Watu wapo wanafanya kazi namanyere, kalambo, tandahimba, buhigwe, ngara, uvinza n.k na maisha yanaenda vizuri tu.
Wote hao wakiwa na mawazo Kama yako basi hakutakua na Maendeleo.
Ok
 
Hii nakataa nina shughuli nafanya dom, mzunguko wa pesa popote pale hutegemea unachofanya. Hata dar unapoona Kuna mzunguko mkubwa, Kuna watu wanafeli na kufunga biashara.
Nina mtu yupo sabasaba kila siku analia biashara hamna
 
Wewe mwenyewe una nyumba?Hivi watanzania tumekula maharagwe yq wapi?
 
Back
Top Bottom