Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Kama una hali mbaya kutokana na kukimbilia kujenga Dodoma jaribu kumfikiria yule aliekimbilia kujenga Chato.
16404290742650.jpg
 
Mimi nilikuwa Dodoma hivi karibuni, aisee panachipuka kwa kasi ya ajabu.........ni swala la serikali kuweka jitihada zaidi za kuweka miundombinu muhimu kwa ajili ya hadhi ya makao makuu, nilichogundua pia hali yake ya hewa imeboreka sana tofauti na zamani, na majuzi hapa makamu wa rais alikuwa anahimiza uzalishaji wa vitalu vya miti ili taasisi za umma na binafsi, wafanyabiashara na wananchi wapande miti ya kutosha........kwa hiyo ndugu mleta mada unapo underrate Dodoma unakuwa hueleweki hasa lengo lako ni lipi, labda kama una chuki binafsi tu.
Sawa tatzo umezunguka hapo Town tu
 
Jiji limeshakuwa kubwa na biashara ziko busy Sana.

Hii ndio legacy pekee ya Mwendazake nayoikubali. Ukiacha Dar hakuna Jiji lingine liko busy kwa Construction kama Dom.
Hivi unaongea nini nenda pale sabasaba uone hali ilivyo ngum biashara hamna
 
Wakoloni hawajawahi kuielewa Dodoma,marais wote walijua mji huu ni kimeo , sasa unatembea mjini hakuna hata mzungu wala mchina wa maana ujue ni pakishenzi...hoteli za nyota 2 ipo moja au mbili ...pakishenzi sana kwa kweli
Mzugu gan akakae sehem kuna jua kali kiasi kile
 
Watanzania sisi akili zetu za ajabu sana.

Mtu unalalamikia serikali kuhamia Dodoma kwamba waliokimbilia kuwekeza huko shauri yao? Kwani waliambiwa wakawekeze huko? Halafu cha ajabu ,unataka kusema Dodoma imeanza kujengwa kipindi Cha huyo mtu mmoja uliyemtaja au ndo akutukanaue hakuchagulii tusi?

Hivi unamlaumu huyo mtu mmoja aliyeamua kuishi kwa vitendo lugha za viongozi kusema ni makao makuu ya nchi ilimhali ofisi nk ziko mkoa mwingine, hapa nani wa kumshangaa?

Tuacheni ujinga, kama ni hivyo alaumiwe aliyefanya makao makuu yawe Dodoma na s aliyeamua kuhamia badala ya kuishi kwa unafiki kwamba makao makuu ni Dodoma.
Yuko wapi sasa
 
Watanzania tuache unafki sasa swali gan unaulizaaaa?
Hivi ile issue ya crdb stadium pale chato bado ipo?
Na ile crdb chato?
Kile kiwanja cha ndege nasikia kinatumiwa na watalii kwaajil yakwenda kwenye ile hifadh!
Watalii gani waache kwenda serengeti, ngorongoro waende chato
 
Back
Top Bottom