Wale mliokuwa mnampigia chapuo Gamondi yanga aje yanga mnazidi kuona uhalisia wake

Wale mliokuwa mnampigia chapuo Gamondi yanga aje yanga mnazidi kuona uhalisia wake

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,911
Reaction score
28,469
I salute you

Wakuu
Kama nakumbuka hapa kati wakati wa kocha Folz pale yanga watu wengi walikuwa wanashauri kuwa Gamondi arudi yanga tu haina haja ya kuzunguka

Lakini shida ya Gamondi ile ile ndio iliwakwamisha yanga kumrudisha..

Tatizo la Gamondi ni hana subira hata kidogo yeye anajali pesa kwqnza tu

Karibu team zote azlizofundisha angalau yanga ndio alikaa misimu miwili tu mirefu

Kwengine kote huwa anakaa msimu mmoja tu huyo anasepa zake

Kwa kocha mwenye maono angebaki singida maana anaenda pale CAFCC mahali ambapo kuna engagement kubwa sana na huenda angepatia dili jingine pale pale kuliko huko national team ambapo huwa tournament ni chache tu.

Nampongeza Gamondi kwa kuwa kocha wa Tanzania huenda amechagu kufanya hiyo isiyo na pressure kila week

Lakini amewaza alipowaacha singida? Kwa alipofikia nao nani sasa wa kuwafundisha tena muda huu ambao tayari wapo makundi??

Design kama mke kamkimbia mumewe wakati anahitajika!

Huenda TFF wamempa dau nono zaidi kuliko Singida no doubt..

Gamondi sio kocha wa long process kama unahitaji hiyo process basi achana naye tu..

1998–1999
Racing Club (assistant)

2000
Al-Ahly (Tripoli) (assistant)

2001–2002
Burkina Faso (assistant)

2002–2003
Wydad AC (assistant)

2004
Espérance Sportive de Tunis (assistant)

2005–2006
Mamelodi Sundowns

2007
Hassania Agadir

2007–2009
Platinum Stars

2010–2011
CR Belouizdad

2011–2012
Ittihad Kalba

2012
USM Alger

2013–2014
CR Belouizdad

2014
Al Urooba

2015–2017
Hassania Agadir (technical director)

2017–2019
Hassania Agadir

2020
Wydad AC

2021–2022
IR Tanger

2023–2024
Young Africans

2025–2025
Al Nasr

2025
Singida Black Stars

Taifa stars - currently
 
Watanzania tunachekesha, sijui nani katuloga!
Tuna msiba wa kitaifa muda wa kuongelea upuuzi unautoa wapi?
Naona unawashwa eeeh?

Hapa jukwaa la michezo unataka tuongeleee nini?

Mimi sio size yako binti na wewe ulifanya nini kuzuia huo msiba???

Kama sio ulijifungia ndani ndio sasa unaleta u keyboard warrior??

Tutolee usbubwada wako hapa
 
Wasikupangie
Ndio mambo mengine lazima yaendelee tu mfano wengine michezo ndio sehemu ya kutuliwaza kwa haya yote.

So tuongelee misiba mpaka huku jf sports kwanini na majukwaa husika yapo?

Ni kiherehere chake tu anajaribu kujionyesha ameguswa sana wakati alikuwa kajifungia ndani kwao wengine walikuwa road wameumia ila yeye analeta u keyboard warrior hapa

Ndio nature ya watanzania ni unafki tu mwanzo mwisho..

Ushujaa wa mitandaoni tu
 
Hata waliokufa hawajapumzishwa tayari watu mnawaza Taifa stars
Badala ya kuungana na wenzetu waliopoteza ndugu, marafiki zao.
Hapa ni jf sports fata protocol binti

Unafki ndio hatutaki unafkiri umepoteza wewe hao ndugu??
Na nyuzi ngapi zimeanzishwa za kuomboleza mpaka zinaungwa??

Acha utoto wako hapa unajua upo jukwaa gani?

Usirudie tena maneno yako matupu hapa yanasaidia nini watu wamekufa??

Unafki tu
 
Hizi klabu mbili za Kariakoo zinatuchelewesha sana.
Kwa namna gani?

Zilikuwepo tangu uhuru mpaka leo wanabadilika watu tu ila bado zinabaki tu

Sasa mambo mengine lazima yasonge tu hata iweje
Ndugu waliopoteza maisha wapo wengi lakini lazima maisha yasonge tu mpaka pale unafki utakapoondoka Tanzania
 
Tumeona Watanzania wasio na hatia miili yao imekufa wakiwa wamevaa jezi za Simba na Yanga

Mtandao umefunguliwa hawajatoa hata pole kwa Watanzania na mashabiki zao. Ndio kwanza wameanza na habari za makundi

Halafu kuna klabu inajiita timu ya wananchi

Wanasubiri maelekezo kutoka juu waandike nini, then Millard achapishe mabandiko yao

Wasanii
Simba na Yanga
Machawa

Ni *******
 
Wanasubiri maelekezo juu waandike nini

Wasanii
Simba na Yanga
Machawa

Ni *******
Hapo ndipo unafki unapokuja sasa

Ukizingatia hao viongozi simba na yanga na wenzao wana platform kubwa ya kusikika lakini wanafanya kukaa kimya sisi kajamba nani tufanyaje zaidi ya kutoa tu hizo stress zetu kwenye kilevi hiki cha soka?

Kama sio bongo basi hata huko EPL mambo ya nchi hii ngumu tena kukaa sawa tumeshashindwa
 
Inasikitisha sana mkuu, Watanzania wamesalitiwa. Ni muda wa kuyasusia hayo maklabu ni ya ****** sana
 
Jiulize kwanini ww hujafa wamekufa wengine?
Swali zuri sana maana anajiona hapo ndio mtu mwenye akili

Kumbe anaonyesha namna alivyo mnafki na muoga

Watu walikuwa road yeye kajifungia ndani alikuwa anasubiri wafe ndio aje hapa kuleta hizo ngonjera za kuomboleza

Unafki
 
Inasikitisha sana mkuu, Watanzania wamesalitiwa. Ni muda wa kuyasusia hayo maklabu ni ya ****** sana
Naungana na wewe
Lakini sasa tumerudishwa nyuma sio tu na vilabu mpaka ndugu zetu wengi wametusaliti kama hawa wanaojifanya kuomboleza online kama kwamba itafufua watu wakati muda wa kuwa pamoja walijifungia ndani
 
Tumeona Watanzania wasio na hatia miili yao imekufa wakiwa wamevaa jezi za Simba na Yanga

Mtandao umefunguliwa hawajatoa hata pole kwa Watanzania na mashabiki zao. Ndio kwanza wameanza na habari za makundi

Halafu kuna klabu inajiita timu ya wananchi

Wanasubiri maelekezo kutoka juu waandike nini, then Millard achapishe mabandiko yao

Wasanii
Simba na Yanga
Machawa

Ni *******
Taasisi nyingi za Tanzania zinajipendekeza kwa serikali ni kusifia, na ikitokea serikali imekosea hawakosoi zaidi ya kukaa kimya.

Vyombo vya habari, vilabu vya mpira, shirikisho la soka, n.k wapo kimya wanasubiri maelekezo toka serikalini wakati kuna watu wamekufa ama kujeruhiwa wakiwa kwenye maandamano na wengine hawakushiriki katika maandamano ila maafa yamewakuta ni jambo la kutoa pole kwa wote waliokumbwa na maafa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom