Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Naona unawashwa eeeh?Watanzania tunachekesha, sijui nani katuloga!
Tuna msiba wa kitaifa muda wa kuongelea upuuzi unautoa wapi?
SawaNaona unawashwa eeeh?
Hapa jukwaa la michezo unataka tuongeleee nini?
Mimi sio size yako binti na wewe ulifanya nini kuzuia huo msiba???
Kama sio ulijifungia ndani ndio sasa unaleta u keyboard warrior??
Tutolee usbubwada wako hapa
Wasikupangie
Ndio mambo mengine lazima yaendelee tu mfano wengine michezo ndio sehemu ya kutuliwaza kwa haya yote.Wasikupangie
Hata waliokufa hawajapumzishwa tayari watu mnawaza Taifa stars
Hapa ni jf sports fata protocol bintiHata waliokufa hawajapumzishwa tayari watu mnawaza Taifa stars
Badala ya kuungana na wenzetu waliopoteza ndugu, marafiki zao.
Kwa namna gani?Hizi klabu mbili za Kariakoo zinatuchelewesha sana.
Tumeona Watanzania wasio na hatia miili yao imekufa wakiwa wamevaa jezi za Simba na YangaKwa namna gani?
Zilikuwepo tangu uhuru mpaka leo wanabadilika watu tu ila bado zinabaki tu
Sasa mambo mengine lazima yasonge tu hata iweje
Ndugu waliopoteza maisha wapo wengi lakini lazima maisha yasonge tu mpaka pale unafki utakapoondoka Tanzania
Hapo ndipo unafki unapokuja sasaTumeona Watanzania wasio na hatia miili yao imekufa wakiwa wamevaa jezi za Simba na Yanga
Mtandao umefunguliwa hawajatoa hata pole kwa Watanzania na mashabiki zao. Ndio kwanza wameanza na habari za makundi
Halafu kuna klabu inajiita timu ya wananchi
Wanasubiri maelekezo juu waandike nini
Wasanii
Simba na Yanga
Machawa
Ni *******
Jiulize kwanini ww hujafa wamekufa wengine?Hata waliokufa hawajapumzishwa tayari watu mnawaza Taifa stars
Badala ya kuungana na wenzetu waliopoteza ndugu, marafiki zao.
Inasikitisha sana mkuu, Watanzania wamesalitiwa. Ni muda wa kuyasusia hayo maklabu ni ya ****** sanaHapo ndipo unafki unapokuja sasa
Ukizingatia hao viongozi simba na yanga na wenzao wana platform kubwa ya kusikika lakini wanafanya kukaa kimya sisi kajamba nani tufanyaje zaidi ya kutoa tu hizo stress zetu kwenye kilevi hiki cha soka?
Kama sio bongo basi hata huko EPL mambo ya nchi hii ngumu tena kukaa sawa tumeshashindwa
Swali zuri sana maana anajiona hapo ndio mtu mwenye akiliJiulize kwanini ww hujafa wamekufa wengine?
Naungana na weweInasikitisha sana mkuu, Watanzania wamesalitiwa. Ni muda wa kuyasusia hayo maklabu ni ya ****** sana
Taasisi nyingi za Tanzania zinajipendekeza kwa serikali ni kusifia, na ikitokea serikali imekosea hawakosoi zaidi ya kukaa kimya.Tumeona Watanzania wasio na hatia miili yao imekufa wakiwa wamevaa jezi za Simba na Yanga
Mtandao umefunguliwa hawajatoa hata pole kwa Watanzania na mashabiki zao. Ndio kwanza wameanza na habari za makundi
Halafu kuna klabu inajiita timu ya wananchi
Wanasubiri maelekezo kutoka juu waandike nini, then Millard achapishe mabandiko yao
Wasanii
Simba na Yanga
Machawa
Ni *******