Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyooooooh, hapo nakukubaligi yaan
 
Mkifika umri huo hamjui mnataka nini, mkikuta pm huko mnaleta masharti kama ya mganga wa kienyeji wakati mmeshakua magazeti ya jioni, kiufupi muache machaguo na kama na wewe ushafika huko jifunze kutokaza komwe au laah utaliwa na kubwagwa
 
Endelea kujifariji tu.

Huwa mnatutesa sana mkiwa 20s.
At 30s mnaanza kukodoa mimacho
 
Aolewe ana miaka 35?????

Huyo Bi Kidude wa 35 unampeleka wapi?????
 
Umuhimu wa kabila ndiyo huu sasa. Kuna mtu kama wewe Mchagga ambao wengi wa Wanawake ni single mothers kwa hapo ulazima wa ndoa huwezi uona maana kuna dada zako, waliachika, mama zako pengine hawajaolewa na wapo 60+ etc. lakini kuna makabila ambayo ukikutana na ndugu anauliza, …kinu ulishaolewa… mbura! Ukisema bado wanakuonea huruma, msimamo wa huyu mtoto wa Rwa ni tofauti na binti yeyote wa kichaga kama cariha
 
Kuachika wanaachika makabila yote mkuu. Ila mimi nathamini sana mtu anayeniheshimu. If u dont why should i keep u? Mapenzi ni two ways traffic bwashee. Kwanini nitumie nguvu kukukeep? Niolewe ili nionekane na mm nimetoa gundu? Hapana. Nibaki nalo tu..

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Dunia imebadilika wanawake Sasa Hivi wamesoma sana na wanakazi nzuri haina haja ya kuolewa mapema .Pili kwa wanaume life start at 40 ndio maana ndoa za ukiwa na miak 20-2026 ukifika 40 mwanaume anatafuta mtu mwingine na divorce ni nyingi .Halafu ndoa inHitaji experience ya kimapenzi .Chemistry sex lazima ujue mambo Hayo kabla hujaingia kwenye uwanja wa mapenzi .Sio lazima kuolewa au kuoa just love yourself and relax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…