cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo gan sasa? FafanuaHalafu mambo yetu yaleee mtu unapata wap sasa kama huna mume wala muke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo gan sasa? FafanuaHalafu mambo yetu yaleee mtu unapata wap sasa kama huna mume wala muke?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyooooooh, hapo nakukubaligi yaanMimi hapa mshangazi wa haja nipo na sina shaka. Niko na very early 30s. Familia naitamani na kuolewa natamani lakini siko tayari kuolewa kwa mtu sijampenda na pressure ya society pia. Sina hofu kabisa. Mbona wapo hawajaolewa na life linasonga? Do not marry mtu hujawa tayari kuishi nae ili kuimpress jamii. Mshangazi mwenyewe nna roho yangu ya kizungu... usiteseke shoo. Kwani Mzee Shirimaa amekutelekeza tena? Pale umepigwa shoo[emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mambo ya kukumbushwa kuolewa kwa wadada hayanaga ugeni wala kuzoea,ni wachache sana wenye moyo wa kupuuzia..Ha ha ha labda awe mgeni na JF lakini kama mwenyeji hizi mambo zipo enzi na enzi humu.
Swali la kitotoHivi at 30s mwanamke kwanini hujaolewa?
Au waowaji wanazingua?
Miss Natafuta ni mchagga aliyesoma Uni na makonda and she is above 35!Lazima utakuwa mchagga
Utatu mtakatifu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo gan sasa? Fafan
Endelea kujifariji tu.Mimi hapa mshangazi wa haja nipo na sina shaka. Niko na very early 30s. Familia naitamani na kuolewa natamani lakini siko tayari kuolewa kwa mtu sijampenda na pressure ya society pia. Sina hofu kabisa. Mbona wapo hawajaolewa na life linasonga? Do not marry mtu hujawa tayari kuishi nae ili kuimpress jamii. Mshangazi mwenyewe nna roho yangu ya kizungu... usiteseke shoo. Kwani Mzee Shirimaa amekutelekeza tena? Pale umepigwa shoo[emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Aolewe ana miaka 35?????Hapana hizo ni hulka na mawazo ya kibinadamu,jambo la kuolewa halina mda wala ukomo wa umri.
Mimi binafsi nimeshuhudia ndoa nyingi sana ambazo wanawake wameolewa wakiwa above 35.
Mambo ya msingi za kuzingatia ili kutengeneza njia ya kuolewa
-Kujipenda kwa kuvaa vizuri na kuwa na muonekano mzuri sisemi ujichubue,oga vizuri kila sehemu ya mwili vizuri,paka mafuta au losheni ambayo itang'arisha mwili na siyo kukuharibu,tumia perfume yenye harufu nzuri na siyo ya kukera watu na kujitunza vizuri usigawe mwili kwa kila mtu siyo karanga hizo.Msubiri mumeo aje afungue vitu vipya kwenye box usije ukawa na kutu.[emoji177]
-kuwa na mwenendo na tabia njema uwapo kwenye jamii,kazini,kanisani au sehemu yoyote
-Kula chakula bora kwa kuzingatia afya yako
-kufanya mazoezi yatakayokuweka fit kiakili na kimwili.
-kuhudhuria kwenye ibada mbalimbali,seminar,Mikutano,sherehe na kwenye shughuli za kijamii kama misiba na shughuli za maendelea.
-Fanya kazi kwa bidii hakuna mwanaume anayempenda mwanamke mvivu,akimpenda basi anataka kumtumia
tu.
-Njia nyingne muhimu sana itakayokuhakikishia kumpata umpendae naye akupendaye ni kusali kwa imani kwa Mwenyezi Mungu bila kukata tamaa.Nakuhakikishia utapata unachositahiri kupata.[emoji120][emoji120]
Hizi ni njia anazoweza kutumia hata mwanaume kupata mke sahihi....
NAPENDA KUWATAKIA VALENTINE DAY,,[emoji312][emoji312][emoji3531]KWA WAPENZI,WANANDOA, FAMILIA,JAMAA NA MARAFIKI WOTE
UPENDO UDUMU KATIKA KATI YETU NA WATU WOTE[emoji123][emoji177][emoji322][emoji322]
Nifollow kupitia
petermarco65@gmail.com
Umuhimu wa kabila ndiyo huu sasa. Kuna mtu kama wewe Mchagga ambao wengi wa Wanawake ni single mothers kwa hapo ulazima wa ndoa huwezi uona maana kuna dada zako, waliachika, mama zako pengine hawajaolewa na wapo 60+ etc. lakini kuna makabila ambayo ukikutana na ndugu anauliza, …kinu ulishaolewa… mbura! Ukisema bado wanakuonea huruma, msimamo wa huyu mtoto wa Rwa ni tofauti na binti yeyote wa kichaga kama carihaMimi hapa mshangazi wa haja nipo na sina shaka. Niko na very early 30s. Familia naitamani na kuolewa natamani lakini siko tayari kuolewa kwa mtu sijampenda na pressure ya society pia. Sina hofu kabisa. Mbona wapo hawajaolewa na life linasonga? Do not marry mtu hujawa tayari kuishi nae ili kuimpress jamii. Mshangazi mwenyewe nna roho yangu ya kizungu... usiteseke shoo. Kwani Mzee Shirimaa amekutelekeza tena? Pale umepigwa shoo[emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Pole sana kwa kuteseka mkuuEndelea kujifariji tu.
Huwa mnatutesa sana mkiwa 20s.
At 30s mnaanza kukodoa mimacho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hili si waliobahatika, na sio kukimbilia, afu mbna hili linawezekan bila ndoa na lipo pia.Utatu mtakatifu
Eeh, mshangazi mimi na sina neno. Mapenzi hayalazimishwi. Ni malimbukeni tu. Yakifa ndo utauona ubaya wake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyooooooh, hapo nakukubaligi yaan
Acha kujipa umuhimu kwa maisha ya watu wewe. Kwani nakosa nini? Liwaza dada zakoEndelea kujifariji tu.
Huwa mnatutesa sana mkiwa 20s.
At 30s mnaanza kukodoa mimacho
Inawezekana Vip sasaSasa hili si waliobahatika, na sio kukimbilia, afu mbna hili linawezekan bila ndoa na lipo pia.
Kuachika wanaachika makabila yote mkuu. Ila mimi nathamini sana mtu anayeniheshimu. If u dont why should i keep u? Mapenzi ni two ways traffic bwashee. Kwanini nitumie nguvu kukukeep? Niolewe ili nionekane na mm nimetoa gundu? Hapana. Nibaki nalo tu..Umuhimu wa kabila ndiyo huu sasa. Kuna mtu kama wewe Mchagga ambao wengi wa Wanawake ni single mothers kwa hapo ulazima wa ndoa huwezi uona maana kuna dada zako, waliachika, mama zako pengine hawajaolewa na wapo 60+ etc. lakini kuna makabila ambayo ukikutana na ndugu anauliza, …kinu ulishaolewa… mbura! Ukisema bado wanakuonea huruma, msimamo wa huyu mtoto wa Rwa ni tofauti na binti yeyote wa kichaga kama cariha
Nimepiga mahesabu mi ndoa ilikuwa mwez wa 8 mimba mwez wa 10Sasa mwaka jana tu na unasema amesumbuka kupata mtoto...
Au alisumbuka kabla ya kuvaa shela?
Dunia imebadilika wanawake Sasa Hivi wamesoma sana na wanakazi nzuri haina haja ya kuolewa mapema .Pili kwa wanaume life start at 40 ndio maana ndoa za ukiwa na miak 20-2026 ukifika 40 mwanaume anatafuta mtu mwingine na divorce ni nyingi .Halafu ndoa inHitaji experience ya kimapenzi .Chemistry sex lazima ujue mambo Hayo kabla hujaingia kwenye uwanja wa mapenzi .Sio lazima kuolewa au kuoa just love yourself and relaxHello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aah😂.
Karibuni na muwe na Jumapili njema...