Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Nimepiga mahesabu mi ndoa ilikuwa mwez wa 8 mimba mwez wa 10
Kikawaida mahesabu hayapigwi hivyo! Inaitwa fecundability - uwezo wa kudaka mimba hautegemei umri bali ni maumbile kuna walio na bahati ya kudaka haraka na wengine huchukuwa muda hata miaka 10 au zaidi
 
Nakubaliana na wewe hayo ni malezi! Kuna waliolelewa katika umuhimu wa kuondoa gundu! Nao tuwaheshimu wakati tukiheshimu mawazo yako. Maisha hayana fomula
Kujiexclude pia yaruhusiwa. So sitaki kuwa kama wao kama ambavyp wao hawataki kuwa kama mimi....

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi usikufanye ukakimbilia kuolewa na mtu ilimradi utakuja kujuta.Nina cousins aliolewa haikupita hata miaka mitatu akaachana na jamaa.Aliolewa na jamaa sababu ya kuchoka kukaa home. Jamaa alikuwa na hela na pia alikuwa na dharau,umalaya na pamoja na kumnyanyasa sister kwenye ndoa.Sister alivumilia,baada ya Magu kuingia madarakani biashara za jamaa zikafa pamoja na kufilisika sister akampiga chini now kila mtu kashika zake.Usiolewe kwa sababu umri umeenda olewa na mtu sahihi.
 
Binafsi siamini kama kuna binti anavuka umri wa "kilele cha ubora" bila kukutana ama kutokewa na mume wake.

Shida wengi wakiwa kwenye peak,nyodo kibao na kuchagua kwingi.

BTW:Unaweza kuolewa ktk umri wowote tu lakini at 30s tegemea kuangukia kwa wagane,watalaka na wazee wa umri wa Mzee wako.

Ukiona mwanamke kaolewa at 30+ na mwanaume asiyeangukia hayo makundi hapo juu,fahamu walikuwa kwenye UCHUMBA SUGU toka akiwa 20s.

NB:It isn't personal ni mtazamo tu,mashangazi msijenge chuki.😁
 

Natalia umeolewa?

Ukiwaunajibu swali hili zingatia wewe ni mkongwe humu!
 

Hahahahba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji359][emoji359][emoji359][emoji359][emoji359]
 
Na waliosaabisha tuogope kuwaoa single mothers ni wanawake wenyewe na tabia yao yakukubali kupasha kiporo ma ex zao
 
Niwengi tu wenye ndoto hizo ila kwanini huwa mnakimbilia kuzaa haraka?Kuna kina sisi ambao tumeshavurugwa vyakutosha na hivi vibinti under 27,huwa tuna plan zetu zakuoa wanawake above 28 wasio na watoto.Sasa hamuoni kama mnatuvuruga mipango yetu?
 
Huyo sista hakuolewa sababu ya umri yeye aliolewa sababu ya tamaa ya hela za jamaa. Dnt confuse the two
 
Kwa jibu hili....hiyo cpa nitakulipia mpaka phd. Wee njoo nikuwowe tufyatue watoto wawili inatosha uendelee na kudevelope career yako.
 
Kazi kweli Miaka haina mwenyewe [emoji16][emoji16]
 
If too much energy is used to keep someone she /he is not the one.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekata tamaa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…