Acha utotoHujuolewa au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha utotoHujuolewa au?
OkAcha utoto
Kikawaida mahesabu hayapigwi hivyo! Inaitwa fecundability - uwezo wa kudaka mimba hautegemei umri bali ni maumbile kuna walio na bahati ya kudaka haraka na wengine huchukuwa muda hata miaka 10 au zaidiNimepiga mahesabu mi ndoa ilikuwa mwez wa 8 mimba mwez wa 10
Kujiexclude pia yaruhusiwa. So sitaki kuwa kama wao kama ambavyp wao hawataki kuwa kama mimi....Nakubaliana na wewe hayo ni malezi! Kuna waliolelewa katika umuhimu wa kuondoa gundu! Nao tuwaheshimu wakati tukiheshimu mawazo yako. Maisha hayana fomula
Hongera kumbe bado kbs.Am in my early 30s mkuu
Dunia imebadilika wanawake Sasa Hivi wamesoma sana na wanakazi nzuri haina haja ya kuolewa mapema .Pili kwa wanaume life start at 40 ndio maana ndoa za ukiwa na miak 20-2026 ukifika 40 mwanaume anatafuta mtu mwingine na divorce ni nyingi .Halafu ndoa inHitaji experience ya kimapenzi .Chemistry sex lazima ujue mambo Hayo kabla hujaingia kwenye uwanja wa mapenzi .Sio lazima kuolewa au kuoa just love yourself and relax
Binafsi siamini kama kuna binti anavuka umri wa "kilele cha ubora" bila kukutana ama kutokewa na mume wake.
Shida wengi wakiwa kwenye peak,nyodo kibao na kuchagua kwingi.
BTW:Unaweza kuolewa ktk umri wowote tu lakini at 30s tegemea kuangukia kwa wagane,watalaka na wazee wa umri wa Mzee wako.
Na waliosaabisha tuogope kuwaoa single mothers ni wanawake wenyewe na tabia yao yakukubali kupasha kiporo ma ex zaoMi nadhan suala la complications za uzazi kwa wadada above 30s ndilo changamoto kubwa.
Wengi mimba zinatunga nje ya kizazi, kujifungua kwa operation, kupata mimba kwa tabu Sana, wengine mpk ugumba n.k
Nmeliona hili Sana,
Wadada wengi hasa wenye kipato Kia's, huamua kuzaa TU kwanza na yeyote kulinda kizazi, Kisha Mambo ya ndoa na mr.perfect baadae.
Sasa akishazaa tu,
Changamoto yake ndo zile zinaibuka case Tena za vijana kutokuoa single mothers, ikifikia hatua iyo ni maumiv makubwa Sana kwa mwanamke.
Na ujikuta pia akijutia maamuz yake ya mwanzo..
Sasa UKISKIA MWANAMKE AMEUMBWA MATESO, BASI NDO KAMA AYO[emoji26]
Poleni Sana kina dada[emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Niwengi tu wenye ndoto hizo ila kwanini huwa mnakimbilia kuzaa haraka?Kuna kina sisi ambao tumeshavurugwa vyakutosha na hivi vibinti under 27,huwa tuna plan zetu zakuoa wanawake above 28 wasio na watoto.Sasa hamuoni kama mnatuvuruga mipango yetu?Ni kweli mkuu, ila nadhani kila mtu na plan yake , mfano mimi i wish siku nije kuwa na familia ile ya Baba, mama na watoto. So kwangu bila ndoa maisha yanawezekana ila ikipatikana ndoa yatawezekana zaidi maana ntatimiza malengo niliyojiwekea. Mungu mwenyewe alimuumba Adamu na kumpa msaidizi Eve. So nadhani ni muhimu kupata wasaidizi.
Huyo sista hakuolewa sababu ya umri yeye aliolewa sababu ya tamaa ya hela za jamaa. Dnt confuse the twoHuu uzi usikufanye ukakimbilia kuolewa na mtu ilimradi utakuja kujuta.Nina cousins aliolewa haikupita hata miaka mitatu akaachana na jamaa.Aliolewa na jamaa sababu ya kuchoka kukaa home. Jamaa alikuwa na hela na pia alikuwa na dharau,umalaya na pamoja na kumnyanyasa sister kwenye ndoa.Sister alivumilia,baada ya Magu kuingia madarakani biashara za jamaa zikafa pamoja na kufilisika sister akampiga chini now kila mtu kashika zake.Usiolewe kwa sababu umri umeenda olewa na mtu sahihi.
Kwa jibu hili....hiyo cpa nitakulipia mpaka phd. Wee njoo nikuwowe tufyatue watoto wawili inatosha uendelee na kudevelope career yako.Ni kweli mkuu, ila nadhani kila mtu na plan yake , mfano mimi i wish siku nije kuwa na familia ile ya Baba, mama na watoto. So kwangu bila ndoa maisha yanawezekana ila ikipatikana ndoa yatawezekana zaidi maana ntatimiza malengo niliyojiwekea. Mungu mwenyewe alimuumba Adamu na kumpa msaidizi Eve. So nadhani ni muhimu kupata wasaidizi.
If too much energy is used to keep someone she /he is not the one.Kuachika wanaachika makabila yote mkuu. Ila mimi nathamini sana mtu anayeniheshimu. If u dont why should i keep u? Mapenzi ni two ways traffic bwashee. Kwanini nitumie nguvu kukukeep? Niolewe ili nionekane na mm nimetoa gundu? Hapana. Nibaki nalo tu..
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Umekata tamaa kabisaDunia imebadilika wanawake Sasa Hivi wamesoma sana na wanakazi nzuri haina haja ya kuolewa mapema .Pili kwa wanaume life start at 40 ndio maana ndoa za ukiwa na miak 20-2026 ukifika 40 mwanaume anatafuta mtu mwingine na divorce ni nyingi .Halafu ndoa inHitaji experience ya kimapenzi .Chemistry sex lazima ujue mambo Hayo kabla hujaingia kwenye uwanja wa mapenzi .Sio lazima kuolewa au kuoa just love yourself and relax
Happy Valentine's Day[emoji23]Am in my early 30s mkuu
My byuriful lil sis; sorry nimechelewa kuona mention yako. How are you swts?Naomba nikuitie dada yangu mwenye busara zake Heaven Sent kuna maneno alinambia mpaka Leo yanaishi moyoni mwangu, ain't desperate anymore..!
Ntafurahi kumuona hapa akinipa neno la tumaini pia[emoji7] Heaven Sent